maskini rejao...

maskini rejao...

Kwasababu unasomeka kama daftari langu la kiswahili la sita bii.

Hehehhe asinipende alafu?!
nakushangaa.....unapenda tujitu twa hovyoooooooooo!!!!!!
 
Uhovyo wake uko wapi?!Mie namuona wa maana sana!!
humpendi unamwogopa maana kazi yake yeye kutishia watu maisha,jikomboe Lizzy achana naye atakuua kwa miwivu huyo.
 
Last edited by a moderator:
mpe pole basi ya mkong'oto aliopata leo.
ps: nadhani anahitaji massage ya ukweli leo,yuko hoi.
Bishanga nimetoka kumpa cha mchana kikiwa full pakeji so sasa ni mzima buheriwa afya na tayari karudi ulingon.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom