Maskini Roma pole kaka ugau pole

Salute..!
 
Kuna wajinga humu walikuja na kusema eti alijiteka , yaan watanzania sijui tuna laana gani yaani vichwani mwetu sijui tumejaza vitu gani maana hatuna uwezo mzuri kufikir
Watu wapo huru kufikiria vyovyote vile waonavyo. As long as Roma mwenyewe aliamua kuwafichia siri watesi wake. People do speculate in both directions negatively and positively
 
Mkuu nakuomba uamini kwamba ROMA bado ni mateka mpaka sasa alitekwa mwili akaachwa huru kuotoka mateka ya mwili lakin sasa ni mateka wa nafsi na kinywa tusimlaumu tutumia vichwa vyetu kulitafakari hilo
 
Anaogopa kifo????
 
Nay wa mitego amuombe msamaha..alimdhalilisha sana mwana!
Nay anajifanya mjuaji sana..Namshauri kuna mambo ya kuropoka na kuna mambo ya kufikirisha akili kwanza kabla ya kupanua domo!!pili apunguze misifa,hajui amemiharibia kiasi gani mwenzake ROMA..
 
"..sadism is inevitable when the situation is alarming.." By col. Ngemela Lubinga, sometimes the executive has to use sadistic way of neutralizing some issues!! hii ni kawaida kwa taifa lolote
 
Kuna wajinga humu walikuja na kusema eti alijiteka , yaan watanzania sijui tuna laana gani yaani vichwani mwetu sijui tumejaza vitu gani maana hatuna uwezo mzuri kufikir
Movie ya bashite,diamond, babu tale.roma na wenzake
 
"..sadism is inevitable when the situation is alarming.." By col. Ngemela Lubinga, sometimes the executive has to use sadistic way of neutralizing some issues!! hii ni kawaida kwa taifa lolote
I wish you would have been the victim.
 
Roma sio kijana shujaa, ningetekwa mimi habari ingekuwa tofauti leo hii. Katulisha matango pori kwenye nyimbo zake kumbe hafuati philosophy ya maneno anayoimba. Mimi nina Rebel kind of thinking, nisingekubali kukaa kimya ningesema ukweli ili Ulimwengu ujue. In other way, watu wana haki ya kuhoji kama kanunuliwa au vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…