Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute..!Utu ni jambo la busara zaid ya chochote, roho mbaya kwa wenzio si jambo jema sisi sote ni binadamu mbali na tofauti zetu za kiiman , kisiasa nk lakin sote tu watoto wa mtu mmoja kiimani ,tusikose utu kiasi hiki kwa sababu tu ya tofaut zetu za siasa
ukifiwa au ukifa wewe mwenyewe utasaidiwa kuchimba kaburi na watu wa vyama vyote na dini zote na utazikwa na umoja huo bila kujali vyama vyao, jamii utakayo iacha italelewa na walio baki na hujui ni nani ataisaidi jamii yako huenda wewe bado ni mtoto huyajui maisha yako ya kesho endelea kukua utajua kuwa katika maisha hakuna aliye wamuhimu zaid ya wengine bali binadamu tunategemeana kutokana na mazingira yetu ya maisha.
Uzima huo ulio nao usikupe kiburi cha kutoona umuhimu wa maisha ya wengine tambua walio kuwepo kabla yetu hawapo sasa na hatujui huko waliko maana kifo ni siri ya maiti jiwekee hazina ya mema dunian.
Watu wapo huru kufikiria vyovyote vile waonavyo. As long as Roma mwenyewe aliamua kuwafichia siri watesi wake. People do speculate in both directions negatively and positivelyKuna wajinga humu walikuja na kusema eti alijiteka , yaan watanzania sijui tuna laana gani yaani vichwani mwetu sijui tumejaza vitu gani maana hatuna uwezo mzuri kufikir
Mkuu nakuomba uamini kwamba ROMA bado ni mateka mpaka sasa alitekwa mwili akaachwa huru kuotoka mateka ya mwili lakin sasa ni mateka wa nafsi na kinywa tusimlaumu tutumia vichwa vyetu kulitafakari hiloWatu wapo huru kufikiria vyovyote vile waonavyo. As long as Roma mwenyewe aliamua kuwafichia siri watesi wake. People do speculate in both directions negatively and positively
Anaogopa kifo????Mkuu nakuomba uamini kwamba ROMA bado ni mateka mpaka sasa alitekwa mwili akaachwa huru kuotoka mateka ya mwili lakin sasa ni mateka wa nafsi na kinywa tusimlaumu tutumia vichwa vyetu kulitafakari hilo
Movie ya bashite,diamond, babu tale.roma na wenzakeKuna wajinga humu walikuja na kusema eti alijiteka , yaan watanzania sijui tuna laana gani yaani vichwani mwetu sijui tumejaza vitu gani maana hatuna uwezo mzuri kufikir
I wish you would have been the victim."..sadism is inevitable when the situation is alarming.." By col. Ngemela Lubinga, sometimes the executive has to use sadistic way of neutralizing some issues!! hii ni kawaida kwa taifa lolote
it would be better!!I wish you would have been the victim.