ladyfurahia elewa kuwa Filipo ni mtu wa mke mmoja tu. Hawezi hata siku moja akawa na wake wawili at the same time ila baada ya kutemwa na mkewe wa zamani marejesho ambaye ameolewa na St. Paka Mweusi, ndio ameamua kumuoa mrembo vivian na ametulia naye kabisa.
kabisa honey mimi ni wewe na wewe ni mimi katu nafsi zetu haziwezi dhuriana!!
muulize huyo sosolisoNivea......toka ukawa dadake wa damu?!?!?
wii Heaven on earth pliz kam zis wei..........naweza shusha zigo la kakio sasa hiviiiiiii,,,,,,,,,,
kabisa honey mimi ni wewe na wewe ni mimi katu nafsi zetu haziwezi dhuriana!!
wewe ulosema ndo unieleze kwa mrefu na mapana!!!
usianze rusha mpira!!!
unajidai sio eeenh?!?!?
Usizimie jamani roho isije ikakutoka maana bado nalifanyia kazi hilo tabasamu lako!!!
wacha urongo basi dogo, ulinikagua lini wewe???Aaaaafu wewe!!? Tangu nimkague Lady doctor unanizushia majungu tu!