maskini sosoliso !!!!!tulikuonya kuhusu paloma

Teh teh kuna nini hapa Nivea?

Erickb52 alikupa mume ukamkataa sasa naona unaota!

Mie na huyu kipenz changu hatuwez achana maisha na umri,chezea sisi weye!
 
Last edited by a moderator:
Kasichana kaongo haka,lol hakana mfano.......eti umeuteka moyo wangu wakati pembeni nanihii anakunawa...kha!
Pole zako Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…