maskini sosoliso !!!!!tulikuonya kuhusu paloma

kwa hiyo inamaana ya kwamba ndoa yao haiko tena?
oky acha nielewe kidogo kidogo na taratibu taratibu
kwani..........................................!!
 
Kasichana kaongo haka,lol hakana mfano.......eti umeuteka moyo wangu wakati pembeni nanihii anakunawa...kha!
Pole zako Arushaone

hebu nitue huko, hakuna anayeninawa mimi na kama yupo ajitokeze na ushahidi! Halafu unikome we mzee umbeaumbea sipendi, sawa? Arushaone ameuteka moyo wangu, hahahaa...... Sema tena!
 
Last edited by a moderator:
Kashangae feri.....habari ndo hiyo, sosoliso katamka hakutaki tena,huelewi?

siku hizi sina raha.. na mke wangu nyumbani..
nirudipo nyumbani humkuta kajiinamia..
namuuliza mke wangu mbona umekasirika..
hushindwa kunijibu hubaki analia.
nazidi kumbembeleza sana mke wangu eeh..
mwishowe akaamua kunielezea..
ati anafahamu mambo yangu yote..
nifanyayo nikiwa kazini..
ati nina wanawake wengi sana mie..
iliobaki anataka tutengane..
nafikiri ni nani ampae maneno mke wangu..
nami sintokubali..
namsaka alshabab huyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…