maskini sosoliso !!!!!tulikuonya kuhusu paloma

kwa hiyo inamaana ya kwamba ndoa yao haiko tena?
oky acha nielewe kidogo kidogo na taratibu taratibu
kwani..........................................!!

Afu hii lokesheni yako unayosema uko Arusha kumbe uko Bagamoyo.... Nikikukamata!!!!!
 


........ati?!?!?

Kashangae feri.....habari ndo hiyo, sosoliso katamka hakutaki tena,huelewi?

sosoliso na Paloma nadhani mshamjua mbaya wenu. Ni Bishanga asopenda watu wapendane......Mimi na mke wangu Lady doctor tungeshaachana endapo tungeendelea kumsikiliza na kuamini kila asemacho.

MKODOBWE GROUP unamuhusu huyo, ngoja nioganaizi kina Zinduna, Madame B, gfsonwin among all.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…