maskini sosoliso !!!!!tulikuonya kuhusu paloma


........eh eh hembu kwanza babe............huu wimbo umeimbwa na bendi gani?
 
........eh eh hembu kwanza babe............huu wimbo umeimbwa na bendi gani?

Babe huyo anaitwa Fresh Jumbe wakati huo akiwa na wana msondo.. Juwata Jazz Band.. Kitambo hiyo..
 
Naunga mkono hoja.. Mkodobwe unawahusu lol..

cc Paloma..


babe..........mkodobwe kwa nani..........li@bishanga??? khaaa heri nkacheze baikoko kwa raha zangu mie kuliko kuhangaika na huyu muuza ndizi!!!
 
ivi nani anaongoza kuchokonoa ndoa za watu umu cc?
maana ya sosoliso ilikua pooaa sasa wafitini wamepata nafasi

afu ya watu8 ndo inaogopwa ee? ata sioni ikiyumba na siombei
 
Last edited by a moderator:
Sasa hayo maneno hayoo tunajua kuwa yanawachoma sana wewe na kina Bishanga!!!!!!!!!!!!

CC: Lady doctor my darling I love you honey!!!

i love you too darling, halafu nimekumiss sana honey uwahi kurudi home mpenzi wangu maana hapa nilipo moja haikai mbili haikai mawazo yote yapo kwako... NAKUPENDA SANA Arushaone

CC: nitonye
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…