mambo vipi bestito? upo kimya sana na wewe jamani!!!!!!!!!!!!!ina maana hunijui wakati we na mumeo ndo mliniunganishia
Nini kinaendelea hapa.
nilikuwa nauguza dadamambo vipi bestito? upo kimya sana na wewe jamani!!!!!!!!!!!!!
nilikuwa nauguza dada
pole sana. hopefully amepona sasa.
Nzuri, mzima wewe?