Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vita vya Ukraine vimeingia hatua nyengine. Hatua hii ni mrusi kuvunja na kubomoa vituo vya maji na umeme nchi nzima katika kipindi cha baridi.
Katika mashambulio ya leo ambayo Ukraine waliyatabiri kutokea japo hawakuweza kuyazuia inasemekana kuwa makombora 60 kati ya 70 yaliyovurumishwa Kyiv na miji mingine yalidondoshwa na jeshi kali la Ukraine.
Pamoja na hivyo hayo yaliyofikia shabaha yake yameleta hasra kubwa na meya wa Kyiv amesema kukata umeme ni jambo la lazima japo waliweza kurudisha huduma kisasi tangu mahambulio mengine kama haya wiki iliyopita.