Aibu kubwa kwao ni kutoka kuwa taifa tajiri mpaka kuwa taifa omba omba na taifa lalamishi. Siku watuj wa kyiv wakishtuka kama wa wachina basi Zelensky hatakuwa na wa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Ushindi mkubwa kwa Ukraine ni kuigeuza operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama wewe unavyoshikishwa adabu na serikali ya ccm kwa kununuliwa mabehewa used kwa bei ya behewa jipya.Acha washikishwe adabu