Maskini wa kimataifa "Yanga" , mpira ni taaluma sio kelele

Maskini wa kimataifa "Yanga" , mpira ni taaluma sio kelele

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Hatimaye yametimia Wakimataifa wetu hawana nafasi tena katika michuano ya CAF mwaka huu. Yanga mashindano haya ni makubwa na magumu yanahitaji kujipanga kujiandaa kwani mpira ni taaluma sio kupiga kelele kwenye Magazeti.

Nadhani mmevuna makelele yenu. Karibu Ligi ya Nyumbani .
 
Tetesi zilizopo ni kwamba Medeama wataadhibiwa kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano mechi ya jana
 
Tanzania hatuwezi mpira, tuache kupoteza muda na pesa.
 
Tayari wameshakuja
images.jpg
Ngoja waje utawaelewa tu wana hoja balaa
 
Bado wanaweza kufuzu😀😀😀😀. Mechi ya mwisho wanafunga TP Mazembe halafu mechi ya Madeama na Mo Beijia itatokea fujo na CAF itaziondoa mashindanoni nafasi ya pili wanapewa Yanga😀😀😀😀
 
We chonga tu. Mwakani tuna tiketi ya kushiriki tena! Wewe shiriki kombe la Mapinduzi ndio saizi yako
 
Kwa hiyo unataka mzee apige marufuku kama alivyopiga marufuku yale mashindano ya UMISETA ili kutengeneza madawati?
Mpira ufutwe tu hauna faida yoyote, kama tokea uhuru mpaka leo thamani ya ligi hata haijafika dola milioni 5 kuna haja gani, halafu hatujawaji chukua kombe lolote lile la maana tokea tupate uhuru. Mpira unadumaza vijana wetu. Kuna riadha na boxing, huko kidogo tumepata manufaa. Tuwekeze huko tunakokuweza.
 
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Mpira ufutwe tu hauna faida yoyote, kama tokea uhuru mpaka leo thamani ya ligi hata haijafika dola milioni 5 kuna haja gani, halafu hatujawaji chukua kombe lolote lile la
maana tokea tupate uhuru. Mpira unadumaza
vijana wetu. Kuna riadha na boxing, huko kidogo tumepata manufaa. Tuwekeze huko tunakokuweza.
Anza kujifuta wewe usitake kututolea radha ya mpira kwa vile wewe mshabiki wa Bao
 
Anza kujifuta wewe usitake kututolea radha ya mpira kwa vile wewe mshabiki wa Bao
Nashabikia timu za Ulaya Mkuu, Chelsea the Blues, huko watu wanakojitambua, sio hapa porojo, ndumba na rushwa. Hakuna mpira hapa Tanzania.
 
Nashabikia timu za Ulaya Mkuu, Chelsea the Blues, huko watu wanakojitambua, sio hapa porojo, ndumba na rushwa. Hakuna mpira hapa Tanzania.
Huko hata mimi nipo vijogoo aka Liverpool ila huku wakibongo napenda radha ya mashabiki wa yanga na simba wanapotoleana uvivu ila ki mpira vilabu vyetu bado vinachechemea hata timu ya taifa hamna kitu wanayoiongoza wamejaa wapiga dili kina Malinzi
 
Nashabikia timu za Ulaya Mkuu, Chelsea the Blues, huko watu wanakojitambua, sio hapa porojo, ndumba na rushwa. Hakuna mpira hapa Tanzania.
Endelea na utumwa wako tuache na ligi yetu,tena ukiona vinakukera zaid hamia hukohuko usituletee nzi
 
Back
Top Bottom