Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kabisa. Mpira ni kulishana keki siku hizi! Teh tehHatimaye yametimia Wakimataifa wetu hawana nafasi tena katika michuano ya CAF mwaka huu. Yanga mashindano haya ni makubwa na magumu yanahitaji kujipanga kujiandaa kwani mpira ni taaluma sio kupiga kelele kwenye Magazeti.
Nadhani mmevuna makelele yenu. Karibu Ligi ya Nyumbani .