mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Acha kufananisha Wanalizombe na vitu vya kijinga.Unamkaribisha nani we chura?sisi tunajiandaa na club bingwa Africa au hujui?wenzako wa kuwakaribisha ni majimaji
Hata mwakani yatajirudia haya haya tu, Tanzania mpira hatuuwezi.Bado tupo CAF next year ,tutajiandaa with full power mkuu
Hivi Mkuu stroke yako haijakuua tu?Tanzania hatuwezi mpira, tuache kupoteza muda na pesa.
Kwa hiyo unataka mzee apige marufuku kama alivyopiga marufuku yale mashindano ya UMISETA ili kutengeneza madawati?Tanzania hatuwezi mpira, tuache kupoteza muda na pesa.
Mpira ufutwe tu hauna faida yoyote, kama tokea uhuru mpaka leo thamani ya ligi hata haijafika dola milioni 5 kuna haja gani, halafu hatujawaji chukua kombe lolote lile la maana tokea tupate uhuru. Mpira unadumaza vijana wetu. Kuna riadha na boxing, huko kidogo tumepata manufaa. Tuwekeze huko tunakokuweza.Kwa hiyo unataka mzee apige marufuku kama alivyopiga marufuku yale mashindano ya UMISETA ili kutengeneza madawati?
ππππππππππMpira ufutwe tu hauna faida yoyote, kama tokea uhuru mpaka leo thamani ya ligi hata haijafika dola milioni 5 kuna haja gani, halafu hatujawaji chukua kombe lolote lile la maana tokea tupate uhuru. Mpira unadumaza vijana wetu. Kuna riadha na boxing, huko kidogo tumepata manufaa. Tuwekeze huko tunakokuweza.
Anza kujifuta wewe usitake kututolea radha ya mpira kwa vile wewe mshabiki wa BaoMpira ufutwe tu hauna faida yoyote, kama tokea uhuru mpaka leo thamani ya ligi hata haijafika dola milioni 5 kuna haja gani, halafu hatujawaji chukua kombe lolote lile la
maana tokea tupate uhuru. Mpira unadumaza
vijana wetu. Kuna riadha na boxing, huko kidogo tumepata manufaa. Tuwekeze huko tunakokuweza.
Nashabikia timu za Ulaya Mkuu, Chelsea the Blues, huko watu wanakojitambua, sio hapa porojo, ndumba na rushwa. Hakuna mpira hapa Tanzania.Anza kujifuta wewe usitake kututolea radha ya mpira kwa vile wewe mshabiki wa Bao
Huko hata mimi nipo vijogoo aka Liverpool ila huku wakibongo napenda radha ya mashabiki wa yanga na simba wanapotoleana uvivu ila ki mpira vilabu vyetu bado vinachechemea hata timu ya taifa hamna kitu wanayoiongoza wamejaa wapiga dili kina MalinziNashabikia timu za Ulaya Mkuu, Chelsea the Blues, huko watu wanakojitambua, sio hapa porojo, ndumba na rushwa. Hakuna mpira hapa Tanzania.
Endelea na utumwa wako tuache na ligi yetu,tena ukiona vinakukera zaid hamia hukohuko usituletee nziNashabikia timu za Ulaya Mkuu, Chelsea the Blues, huko watu wanakojitambua, sio hapa porojo, ndumba na rushwa. Hakuna mpira hapa Tanzania.