Maskini wa kimataifa "Yanga" , mpira ni taaluma sio kelele

Kuna mitanzania mijinga. Unamuuliza mtu team yake anajibu mi manjesta,mi chizi,mi weus hamu...kama taahira huku anakenua meno. Eti soka la bongo ....ni ulimbuken tu hamna jipya
 
Endeleeni na mipasho yenu, mpaka hapa hauwezi ukawa na kichwa kizuri ukashindwa kuiona kazi ya yanga kwamba inaondoka na point 4. 2002 ufaransa walitoka na point ngapi w.c na wakiwa wametokea kulitwaa 1998?
 
Upo sahihi kabisa. Mpira ni kulishana keki siku hizi! Teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…