Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

ok hayo mazingira ndio yapi?
 


Umenichekesha sana The Boss. Ukisema uko desperate wanaume wote wanakimbia. Cha kufanya wewe anza kutembelea sehemu wanaume wengi watakuona, unaweza kukutana na watu wapya siyo wale wa siku zote. Acha kujishusha bei, what is 32 by the way? Kama umejidharau kiasi hicho nani atakuoa au kukudate wakati wewe mwenyewe hujiamini? Acha kuchagua wanaume wewe jichanganye tu, Mungu anakaribia kukupa mume wako.
 

Am glad umeshagundua tatizo,sasa nakushauri take create list of the things you want ur hubby to have eg.caring,considerate,social,etc
Baada ya hapo ukipata a date take things slowlys kumchunguza huyo potential husband,usiwe na papara to go to bed with him,kama kweli muoaji na anameet criteria zako basi ndio unaenda next step
 
asante sana nashukuru kwa ushauri mzuri sana nitazingatia maneno yako
 
Dada ndoa sio ya kukurupukia usiwe na haraka kiasi hcho usipo angalia utaingia choo cha wazee tuliza akili, usichoke kuomba mungu You never know kakupangia kuolewa lini so hutakiwi kuwa na papara ndoa ni tamu na vile vile ni chungu usipokuwa makini. Kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…