Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

Usihofu, maadam umeleta hapa, wapendwa twaungana nawe katika sala, na sala za wengi Mungu hizisikia. By June next year utavaa shela, beleave my words na usininyime kadi.
Nashukuru kwa maneno mazuri yenye kunifariji nitamshukuru sana mungu ikiwa hivyo
 
Chokochoko bado hujapata wachumba humu ndani? Ila uchague m1
 
Wajameni wapendwa wa mmu nisaidieni kimawazo mie mwenzenu nimechanganyikiwa sasa.

Tatizo langu ni kwamba nimemuomba mungu kwa muda mrefu nahitaji kuolewa bila mafanikio wadogo zangu
wote wameolewa marafiki zangu wakaribu wote najisikia vibaya sana najiona sina maisha sina furaha ya ma
isha mimi.

Navyojua mimi kila mwanadamu anahaki ya kuoa/kulewa ili awe na familia sasa mimi maisha gani haya nayoishi raha ya maisha nikuona uko na watoto wako na mume wako kwakweli kuna utamu wake kuliko kuishi kwa wazazi mtu mzima sivutiwi na maisha ya kuishi pekeyangu wala sitamani tamaa yangu nikuwa na familia, kiukweli umri wangu umeenda sana mwezi ujao naanza mwaka wa 32 sasa najiuliza sijui nizae bila kuolewa? Japokuwa naona hali hiyo itanitesa baadae.

Sina lakufanya nalia kila kukicha najiona sina thamani wenzangu wana watoto mimi sina hata wa dawa basi nimechanganyikiwa nasikia uchungu mimi.

Nisaidieni nipeni moyo nifanyeje nimeshaomba mungu saana bila mafanikio.

Inaonekana ulikuwa na maringo sana enzi za usichana wako
 
Chunguza mfumo mzima wa maisha yako ili kuona kama kuna vitu ambavyo vinasababisha wewe kutopata wa kukuoa. Rekebisha utakapopatilia mashaka. Then, tulia umtegemee Mungu. Hata hivyo usiwaze kuolewa tu, waza kumpata atakayekufaa maishani.
 
Chunguza mfumo mzima wa maisha yako ili kuona kama kuna vitu ambavyo vinasababisha wewe kutopata wa kukuoa. Rekebisha utakapopatilia mashaka. Then, tulia umtegemee Mungu. Hata hivyo usiwaze kuolewa tu, waza kumpata atakayekufaa maishani.
yaani mimi mfumo wangu wa
maisha ni mzuri kama nini pia namuomba mungu sana
 
yaani mimi mfumo wangu wa
maisha ni mzuri kama nini pia namuomba mungu sana
Nashukuru kwakunijibia mpendwa, maana nimekupm bila haya na wewe umeitoa nje vibaya hivyo
 
Chokochoko pole sana

ila sidhani kama una uhaika na what you are wishing for...
 
Chokochoko dah halafu hili jina linanifanya nitabasamu kweli......hivi bado haujampata tu??
Ni jina tuu hilo sio kwamba mie niko hivyo, nilitafuta jina nikakosa ndio akili yangu ikanituma hivyo
 
Chokochoko pole sana

ila sidhani kama una uhaika na what you are wishing for...
khaaa! Kwanini umefika huko?
Niko serious jamani nisaidieni mwenzenu nimechoshwa na maisha haya hata mawazo yenu nayathamini sana





0
 
khaaa! Kwanini umefika huko?
Niko serious jamani nisaidieni mwenzenu nimechoshwa na maisha haya hata mawazo yenu nayathamini sana

Nimefika huko kwa sababu ndiko uendako.....lazima ujue uendako....kwa nini unadhani, seriously, ni LAZIMA uolewe?
 
Usijali wangu,ukiona hivyo ujue anae kufaa maishan bado hajafika,we endelea kumuomba mungu atakusaidia, af angalia system nzima ya maisha yako iko vp cse kwa me nnavyo faham kuolewa kwa mwana dada kunategemeana jinsi ambavyo ye amejiweka tangu mwanzo, thats why kuna msemo unasema "THE FUTURE BELONGS TO THOSE WHO PREPARE FOR IT TO DAY" Yan kesho inategemeana na leo.
 
chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.


Loooooh.. kweli wewe ndiye Hashycool mwingine photocopy.
 
maana navyojua humu ndani wachuchu wamejaa hata 7 awezakuwapata yeye tuu, mie mwenyewe ubavu nimeunyakulia humuhumu ndani

uko seriuos au unatania wewe,umepata ubavu jf? Au unazungumzia fb pengine,siamini hii kitu,wana jf walivyo critical wanaingilika kweli?
 
Dada am sure upo kama unavyosema but it can not hurt you if you take a real look at yourself again.
Kwa mfano mimi nina sifa karibu na zako na nikawa nashangaa sipati mchumba,kumbe sababu i was too independent woman and over confident kumbe nilikuwa naweza sura ya u serious hadi wanaume wakawa wananiogopa na kunitamani kwa nje tu.
Hadi siku best yangu akaniambia hivi unajua wakaka wengi wanapenda ulivyo ila wanakuogopa cz we maneno mawili tu umemaliza kuongea.
So toka hapo nikajiweka more friendly and approchable in a good way .
Sasa am 31 and soon to be married with 2 month pregnant
 
Back
Top Bottom