chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.
Kwakweli itabidi nizae tuu kwanza kuolewa baadae, nashukuru kwa mawazo yako mazuri umenitia moyoUnatafuta watoto au ndoa? Kama ni swala la watoto zaa watoto wako wawili, wanaume wa kukuzalisha ni wengi ni kuchagua tu, rangi, urefu, IQ etc!
Kama ni ndoa mradi ndoa nazo zipo tu, usiwe mvivu kwenye love connect!
Lkn kama mapenzi ya dhati, hayatafutwi na huyo better half wako anaweza akaja hata ukiwa in ur late 40s! Na hata akikuta na hao watoto wako 2! N believe me u r never lonely ukiwa na mtoto!
So ushauri wangu; zaa at least mtoto mmoja wakati bado una nguvu na mpaka anamaliza chuo bado utakuwa na nguvu wewe kama wewe wa kumsupport!
Yaani sijui nianzie wapi hata, kaka mie ni mstarabu sana, sina tabia za ajabu hata tone, mavazi yangu ni ya heshimaNafikiri ni busara kama ukijiangalia wewe mwenyewe na zaidi the way unvyoji-position ukiwa na hao wenzi wako ambao hawajaonyesha interest za kukuoa. Inawezekana kuna tabia unazozionyesha kwao au pengine namna ya maongez1 ambayo huwafanya wahisi kuwa huenda ukawa siyo mke mwema kwao.
Jaribu kureview tabia yako, mwenendo, maongezi, mavazi, uhusiano wako na watu wengine etc. lakini nikupe moyo kwamba kwa umri huo, wewe bado kabisa, usikate tamaa.
Katika kuyafanya hayo, pia endelea kumuomba Mungu na kusubiri siyo kujiachia hivyo kwa wanaume kwa sababu ya kutaka kuolewa mwishowe utaonekana malaya ha hautaolewa kamwe.
Kila la kheri, na endelea kuvuta subira ipo siko mambo yatakunyookea.
ahsante sana kaka nashukuruPole dada angu binafsi ntakuweka kwenye Maombi yangu usiku huu,lakn jaribu ku review tabia zako nafikiri unaweza pata jibu,pole Mungu atakupatia mume mwema
Nooo sikua style hiyo mimi toka nikiwa na 23yrs nilikua nalilia kuolewa mimi, sema tatizo ndio kumpaata huyo mwenziWanawake wengi kuna kipindi huwa wanaringa sana wanapofuatiwa na wanaume inapofikia kipindi unahitaji sasa unakosa hata wakukuongelesha nadhani na wewe ulikuwa hivyo so endelea kusubiri banaa.
hizi sifa unazojipa hapa uko sirious au ndio unajipa promo?yaani sijui nianzie wapi hata, kaka mie ni mstarabu sana, sina tabia za ajabu hata tone, mavazi yangu ni ya heshima
nakubalika kwenye jamii sana yaani kila mtu huwa anajiuliza kwanini huyu dada
haolewi yaani nikimwambia mtu bado sijaolewa haamini mimi ninaheshima na nizamu za kila aina atakaenioa atakuwa amepata mke mwema. Sema tuu ni mkosi
Nashukuru sana naomba mungu na iwe hivyoPole sana, lakini tambua kuwa Mungu atakupatia mume mwema kuwa na subira maana furaha yako ya milele inakuja.
Huo ndio ukweli niko hivyo sijipromohizi sifa unazojipa hapa uko sirious au ndio unajipa promo?
duuuh hiyo ni story yakweli au ni style yakunipa moyo kiaina? Maana mbona ni balaa lingine hilo.We bado kijana sana 32 unalalamika? By the way kwani lazima kuolewa? Nani aliyekuambia kuolewa ndio kila kitu. Ni mambo ya muda tu subiri, endelea kuomba mungu atakujibu kwa wakati wake, huo umri wako bado unaruhusu bado kuolewa, tena ukampata mwenye mapenzi ya dhati kwako. Kuwa mvumilivu kwani kuna dada mmoja ni jirani yangu aliolewa akiwa na 37, tena she was hiv+ na aliwahi kupata matatizo akatolewa kizazi sembuse wewe mzima?
Kwanza nakupa pole mdada.nna rafiki yangu anatatizo km lako.kila mvulana aliekuwa anamuapproach.alikuwa anachek mfuko wake.anasema kwao maskni nae hatak mtu maskn.umri umeenda sasa.rafiki zake sote tumeolewa na tuna watoto.yeye yupo analilia ndoa sasa.cha kujifunza bora uolewe na umpendae.pesa mtatafuta mkiwa pamoja.pesa ni matokeo. wasichana wengi huwa wanachagua watu wa kuwaoa.wanataka mtu awe na nyumba na gari.na hela juu.matokeo yake wanachezewa na kuachwa.
Huna haja ya kukata tamaa,wa kwako yupo anakusubiri na huwezi kukutana naye mpaka wakati mungu aliokupangien ufike,usiangalie binadamu wanasema nn juu yako mwombe mungu akukutanishe na atakayekupa furaha ya ndoa na sio karaha,umri sio ishu kbs, na hao wanaume wakikujua tu uko desperati kuolewa wata take advantage na watakuchezea na kukuacha unalia,zidisha maombi ikiwezekana na kufunga na siku zote mjaribu mungu kwa kumtolea uone namna atakavyokujibu!toa hofu subiri wakati wa mungu.
Hiyo ni kweli kabisa.