Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
- Thread starter
-
- #141
Nashukuru kwa maneno mazuri yenye kunifariji nitamshukuru sana mungu ikiwa hivyoUsihofu, maadam umeleta hapa, wapendwa twaungana nawe katika sala, na sala za wengi Mungu hizisikia. By June next year utavaa shela, beleave my words na usininyime kadi.
Wajameni wapendwa wa mmu nisaidieni kimawazo mie mwenzenu nimechanganyikiwa sasa.
Tatizo langu ni kwamba nimemuomba mungu kwa muda mrefu nahitaji kuolewa bila mafanikio wadogo zangu
wote wameolewa marafiki zangu wakaribu wote najisikia vibaya sana najiona sina maisha sina furaha ya ma
isha mimi.
Navyojua mimi kila mwanadamu anahaki ya kuoa/kulewa ili awe na familia sasa mimi maisha gani haya nayoishi raha ya maisha nikuona uko na watoto wako na mume wako kwakweli kuna utamu wake kuliko kuishi kwa wazazi mtu mzima sivutiwi na maisha ya kuishi pekeyangu wala sitamani tamaa yangu nikuwa na familia, kiukweli umri wangu umeenda sana mwezi ujao naanza mwaka wa 32 sasa najiuliza sijui nizae bila kuolewa? Japokuwa naona hali hiyo itanitesa baadae.
Sina lakufanya nalia kila kukicha najiona sina thamani wenzangu wana watoto mimi sina hata wa dawa basi nimechanganyikiwa nasikia uchungu mimi.
Nisaidieni nipeni moyo nifanyeje nimeshaomba mungu saana bila mafanikio.
yaani mimi mfumo wangu waChunguza mfumo mzima wa maisha yako ili kuona kama kuna vitu ambavyo vinasababisha wewe kutopata wa kukuoa. Rekebisha utakapopatilia mashaka. Then, tulia umtegemee Mungu. Hata hivyo usiwaze kuolewa tu, waza kumpata atakayekufaa maishani.
Nashukuru kwakunijibia mpendwa, maana nimekupm bila haya na wewe umeitoa nje vibaya hivyoyaani mimi mfumo wangu wa
maisha ni mzuri kama nini pia namuomba mungu sana
Chokochoko dah halafu hili jina linanifanya nitabasamu kweli......hivi bado haujampata tu??Nashukuru kwakunijibia mpendwa, maana nimekupm bila haya na wewe umeitoa nje vibaya hivyo
Ni jina tuu hilo sio kwamba mie niko hivyo, nilitafuta jina nikakosa ndio akili yangu ikanituma hivyoChokochoko dah halafu hili jina linanifanya nitabasamu kweli......hivi bado haujampata tu??
khaaa! Kwanini umefika huko?Chokochoko pole sana
ila sidhani kama una uhaika na what you are wishing for...
Chokochoko bado hujapata wachumba humu ndani? Ila uchague m1
Halafu mbona haujajibu swali langu?Ni jina tuu hilo sio kwamba mie niko hivyo, nilitafuta jina nikakosa ndio akili yangu ikanituma hivyo
khaaa! Kwanini umefika huko?
Niko serious jamani nisaidieni mwenzenu nimechoshwa na maisha haya hata mawazo yenu nayathamini sana
Kaizer hebu nenda kuleee niache mimi na chokochoko hapa...lolNimefika huko kwa sababu ndiko uendako.....lazima ujue uendako....kwa nini unadhani, seriously, ni LAZIMA uolewe?
Kaizer hebu nenda kuleee niache mimi na chokochoko hapa...lol
chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.
maana navyojua humu ndani wachuchu wamejaa hata 7 awezakuwapata yeye tuu, mie mwenyewe ubavu nimeunyakulia humuhumu ndaniwawili haruhusiwi kwani?
maana navyojua humu ndani wachuchu wamejaa hata 7 awezakuwapata yeye tuu, mie mwenyewe ubavu nimeunyakulia humuhumu ndani