Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

kula utakula... Ila utakula nini?unaweza wahi olewa, ndoa ikawa kero bin balaa.
Usiogope kuchelewa kuolewa, huenda Mungu anakuandali your better half.
 
kula utakula... Ila utakula nini?unaweza wahi olewa, ndoa ikawa kero bin balaa.
Usiogope kuchelewa kuolewa, huenda Mungu anakuandali your better half.
hayo maneno yako ni yakweli
ila sitakiwi kuyaweka maanani maana nikiyaweka maanani nitajikuta nimegonga 60yrs sijaolewa, maana muda huu nimekua gumzo kwa watu
 
Nimefika huko kwa sababu ndiko uendako.....lazima ujue uendako....kwa nini unadhani, seriously, ni LAZIMA uolewe?
kwa mimi lazima niolewe maisha bila mume siyawezi naninakiri nimeshindwa na sitaweza, nanikiolewa nitamnyekea mume wangu
kufanakupona ili asijeniacha kwa mimi naona maisha bila mume ni mateso na aibu tupu najiöna kaa niko uchi
 
chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.

Hasshy Cool kama signature yako ilivyo...life is a big joke! Nimecheka mpaka basi! sas huu mchanganyiko akioga sio ndio atafukuza watu kabisa...
 
THE FUTURE BELONGS TO THOSE WHO PREPARE FOR IT TO DAY . Kwa zamani sio kwa
sasa, kwa sasahivi maisha hayana formular kabisa sio ndoa wala pesa mpendwa

THOSE
 
hongera kwakumpata mwenza, ungejua vile nilivyo social asikwambie mtu, mie ni mcheshi niko simple siringi wala sijidai yaani mie mtu wawatu, ila hili tatizo linataka kunibadilisha tabia
maana najiona kama nimenyimwa haki yangu
 
Ok basi usijali dear utampata tu,unajua kila mtu ana mwenza wake aliyepangiwa na mungu ,so wewe endelea na maombi na just relax and be yourself,siku ikifika mume wako atakuja tena utashangaa mwenyewe maana akija utajua tu huyu ni mume wangu
 
Au labda utuelezee ukiwa na bfriend huwa mambo yanaendaje,how you behave ,how he behave,na labda bfriend wako wa mwisho ilikuwaje mkaachana,au labda x bfriends zako huwa wanakupa sababu gani za kukuacha.
''May be ur too much of a good girl and boring''
 
Tatizo langu mie nimeshaligundua, kuna mtu alinipm nakunidiscuss na mimi hili tatizo, kitu alichokigundua ni uchaguzi wangu wa wanaume namimi nimekubali mara zote nakua niko kwenye wrong choice nami nachelewa kugundua pale napogundua nakua nimeshapoteza muda
 
Jama jama jama! kuna njemba moja imejitokeza inataka tuoane sasa tatizo langu bado sijamuamini nifanyaje wapendwa bado sijamuamini
 
Jama jama jama! kuna njemba moja imejitokeza inataka tuoane sasa tatizo langu bado sijamuamini nifanyaje wapendwa bado sijamuamini
Tuambie jina anaitwa nani au ni The Finest nini maana nasikia ndio anadatisha wadada humu
 
Another trick, badilisha mazingira, iwe ya kazi, makazi ama viwanja vya social gathering. but still be carefull wasije wakakutumia wakasepa.
 
Pole sana mama angu,Mungu atasaidia hujui anakuepusha na nn kilichopo mbele yako.Mungu ckuzote hukuwazia lililo jema pliz uckata tamaa mama na ucwe selective pia uclalamike na kufanya sumting crazie God luvz u mummy jst hold on....
 
Tuambie jina anaitwa nani au ni The Finest nini maana nasikia ndio anadatisha wadada humu
jina namuhifadhi atajua nikimtaja, hayupo kwenye jf ila anasomaga kakuta thred yangu ndio akajikonect nakunipm ndio maswala mengine yakafuatia.
 
nenda kwenye nyumba za ibada ukafanyiwe maombi utapata wa kukuoa fasta
 
Jama jama jama! kuna njemba moja imejitokeza inataka tuoane sasa tatizo langu bado sijamuamini nifanyaje wapendwa bado sijamuamini

Unahitaji kuwa makini kwa maana unaweza kudhani umepata kondoo kumbe ni mbuzi.
Funga na kuomba Mungu akuonyeshe kama ni wako kweli au msumbufu mwingine.
 
pamoja na kuomba je umetengeneza mazingira ya kumpata potential husb?? Unaweza kuwa unalalama lakini ww mwenyewe hujichanganyi, hu-jiweki kama kama mtu alie single...pia pengine uko too desperate mpaka unawakimbiza waowaji kwa kukuona 'garasha'. Kwa kifupi tengeneza mazingira rafiki na kile unachokitaka huku uki-maintain misimamo yako kuepuka kufanywa 'chips funga'. Pengine kuna watu wanakumezea mate wakuwowe ila mazingira ya wanazuia either hawapati nafasi ya kushusha verses n.k! Vilvile kuwa pro-active ikiwa kuna mtu unamuona potenetial unaweza kumuanza ww....they say life is all about choices, u can choose who u want to be!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…