Maskini wajasiriamali wa Tanzania, msikate tamaa, wanaowanyanyasa wangependa mzidi kuwategemea

Maskini wajasiriamali wa Tanzania, msikate tamaa, wanaowanyanyasa wangependa mzidi kuwategemea

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Coco beach wamevamiwa Usiku wa manane wakaporwa Mali zao, coco na makao Makuu ya nchi SIYO mbali lakini wajasiriamali awakupata msaada wa dola na serikali.

Arusha wamenyang'anywa vitu mbalimbali, hakuna Mbunge Wala Diwani wakuwasemea. Wajasiriamali wamekosa mtetezi.

Huko Zanzibar wanaondolewa ufukweni kupisha wawekezaji, wajasiriamali mmekosa nini.

Karume soko likaungua wakapigwa mabomu, kwanini tusizungumze nao? Kwanini tunaamini nguvu ya dola italiinua Taifa?Tunajua wanafamilia?
 
Hao hao kwenye uchaguzi utawakuta na bendera za CCM mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom