Maskini wenye hasira kali Zambia wamuua kwa kumchoma moto Mtanzania

TULIDHANI HICHELEMA KAMA KIONGOZI WA UPINZANI NA TAJIRI ANGELETA FARAJA KWA WAZAMBIA KUMBE SIVYO, UMASIKINI ZAMBIA UMEZIDI MARA DUFU, MAISHA YAMEPANDA NA KUWA MAGUMU KWELI, HAPA TUNAJIFUNZA JAMBO SIO KILA MFUMO NIWA KUUJARIBISHA, TUENDELEE NA CCM YETU HII, TUTAFIKA TU.
 
Matukio kama hili yaliwahi kutokea mwaka 2011 hadi 2013 mjini Mtwara na Masasi.Mimi nilikuwa kule.Naona hata TZ kuna kama kaharufu kwa mbali ka matukio hayo kujirudia.
 
Wafanyabiashara tz/zambia mixer watu wa faulo sana
Ila kilichowakuta hao jamaa kama ni hukumu basi ilipitiliza ,lazima kuna mahali walijikwaa, kifo hakikosagi sababu

Ova
 
Ukatili wa kinyama sana Huu duu mpk nimeingiwa na spirit ya NATIONALISM

Wapumzike Kwa amani watanzania wenzetu

Ni ukatili wa KUTISHA na UNYAMA wa Hali ya juu...
 
Wafanyabiashara tz/zambia mixer watu wa faulo sana
Ila kilichowakuta hao jamaa kama ni hukumu basi ilipitiliza ,lazima kuna mahali walijikwaa, kifo hakikosagi sababu

Ova
Sure Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…