Tetesi: Maskini Zari......🙌🙌

Tetesi: Maskini Zari......🙌🙌

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Account yake pendwa yenye followers mil 4.2 ya Instagram imehackiwa.

Update :
ni kawaida kwa wanadam kusema lolote lile hasa kupinga...hebu fikilia watu wanapinga hadi uwepo wa mungu na mamlaka take,na wanadai biblia sio kitu.sembuse mm Chuggaboy kutoa taarifa...hasa za celebrity.

Kwan mnaodai taarifa haina manufaa: na kunitusi,nyinyi ndo wapuuzi aliyewambia msome thread nani,au sio umbea wenu na ushakunuku wakukosa maarifa...hebu fikilieni now zari yupo Uganda kuhamasisha vijana,na mnafaham mitandao ndo vijana wengi hutembelea hasa Instagram,imehackiwa sasa so jiulize no vijana wangapi watakosa kuhamasishwa nae hasa kwa upande wa kimtandao...msichukulie kila kitu negative badilikine watz..ebooo💀👹

Halafu kingine Hats mkiniita Mimi mwanamKE poa tu..kwani nothing will change behind my keyboard ..na fake ID🆔
Update :

Ni kawaida kwa wanadam kusema lolote lile hasa kupinga...hebu fikilia watu wanapinga hadi uwepo wa mungu na mamlaka take,na wanadai biblia sio kitu.sembuse mm Chuggaboy kutoa taarifa...hasa za celebrity...
Kwan mnaodai taarifa haina manufaa: na kunitusi,nyinyi ndo wapuuzi aliyewambia msome thread nani,au sio umbea wenu na ushakunuku wakukosa maarifa...hebu fikilieni now zari yupo Uganda kuhamasisha vijana,na mnafaham mitandao ndo vijana wengi hutembelea hasa Instagram,imehackiwa sasa so jiulize no vijana wangapi watakosa kuhamasishwa nae hasa kwa upande wa kimtandao...msichukulie kila kitu negative badilikine watz..ebooo💀👹

Halafu kingine Hats mkiniita Mimi mwanamKE poa tu..kwani nothing will change behind my keyboard ..na fake ID🆔
 
Attachments

  • Screenshot_20180806-131436.png
    Screenshot_20180806-131436.png
    91 KB · Views: 55
Naona unafurahia. Tanzania ya viwonder.
 
Nilijua account ya Benki kumbe ya Insitaguramu baasi fureshi wahaki tu na waifute kabisa maana hakuna elimu anayotoa kwa hao folowaz wake zaidi ya mipasho na vijembe.
 
Back
Top Bottom