Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
aya tuhusu sisi [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wanaaboa kweli. Yani inaboa sanaYaaan[emoji15] [emoji15] ...halafu mtoto wa kiume huyoo!
Hujui wanaume ni wambeya kuliko wanawake?Mkuu we ni Me or Ke?
Kwani huyu mleta maada ni mwanaume? Kama ni mwanaume bas atakuwa wa darSina hyana kwenye likes... Nimeona aibu wanaume wa siku hizi wambea kutuzidi Dada zao
Asee nimeamini! Hili wingu limeongezeka mnooHujui wanaume ni wambeya kuliko wanawake?
Hakuna mwanaume wa hvyo!hata DarKwani huyu mleta maada ni mwanaume? Kama ni mwanaume bas atakuwa wa dar
Daaaaaaah why jamani zari?Account yake pendwa yenye followers mil 4.2 ya Instagram imehackiwa.
Update :
ni kawaida kwa wanadam kusema lolote lile hasa kupinga...hebu fikilia watu wanapinga hadi uwepo wa mungu na mamlaka take,na wanadai biblia sio kitu.sembuse mm Chuggaboy kutoa taarifa...hasa za celebrity...
Kwan mnaodai taarifa haina manufaa: na kunitusi,nyinyi ndo wapuuzi aliyewambia msome thread nani,au sio umbea wenu na ushakunuku wakukosa maarifa...hebu fikilieni now zari yupo Uganda kuhamasisha vijana,
na mnafaham mitandao ndo vijana wengi hutembelea hasa Instagram,imehackiwa sasa so jiulize no vijana wangapi watakosa kuhamasishwa nae hasa kwa upande wa kimtandao...msichukulie kila kitu negative badilikine watz..ebooo[emoji88][emoji83]
Halafu kingine Hats mkiniita Mimi mwanamKE poa tu..kwani nothing will change behind my keyboard ..na fake ID[emoji723]