Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi Iendelee mishahara haijapanda kwa miaka 6!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake.

Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi.

Kazi Iendelee!
 
Mwendazake aliwakomoa makusudi watumishi kwa hisia za chuki eti walimpigia kura Lowasa 2015 thus akawafukuza Kazi zaidi ya elf 10 kwa kisingizio cha cheti badala ya weledi.Huku akiwanyima waliobaki haki yao ya kikatiba ya nyongeza za mishahara na madaraja akijifichia kwenye uhakiki feki usioisha wa KILA mwaka kumbe siku zisongee tu asiwalipe haki zo.
 
Lijiwe lilifanikiwa vipi kuwapumbaza mamilioni ya watz?
Leo TUCTA wametoa hotuba swafi kabisa kuhusu kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma.
 
So, ukiwaondoa hao elfu 10 wa EN Lowassa, wengine woooote waliosalia walimchagua JPM, siyo!???
 
Lijiwe lilifanikiwa vipi kuwapumbaza mamilioni ya watz?
Leo TUCTA wametoa hotuba swafi kabisa kuhusu kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma.
Nikama vile mwamba alivyofanikiwa kuwapumbuza nyumbu kua hakuna mwingine zaidi yake
 
Back
Top Bottom