johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwendazake aliwakomoa makusudi watumishi kwa hisia za chuki eti walimpigia kura Lowasa 2015 thus akawafukuza Kazi zaidi ya elf 10 kwa kisingizio cha cheti badala ya weledi.Huku akiwanyima waliobaki haki yao ya kikatiba ya nyongeza za mishahara na madaraja akijifichia kwenye uhakiki feki usioisha wa KILA mwaka kumbe siku zisongee tu asiwalipe haki zo.
Hisia mbaya sana muzee.hisia tu Hitler akauwa mamilioni.So, ukiwaondoa hao elfu 10 wa EN Lowassa, wengine woooote waliosalia walimchagua JPM, siyo!???
Nikama vile mwamba alivyofanikiwa kuwapumbuza nyumbu kua hakuna mwingine zaidi yakeLijiwe lilifanikiwa vipi kuwapumbaza mamilioni ya watz?
Leo TUCTA wametoa hotuba swafi kabisa kuhusu kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma.