KERO Maslahi duni kwa vijana wa internship kupitia TAESA kwenye taasisi za umma

KERO Maslahi duni kwa vijana wa internship kupitia TAESA kwenye taasisi za umma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwa ambao tunafanya intership wenye mikataba na TAESA fedha ya kujikimu haiendani na uhalisia wa maisha ya sasa ambayo ni 150,000.

Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati swala hili maana vijana tunaofanya hizi internship maisha ni magumu sana.

Unakuta wengine wapo zaidi ya mwaka mmoja lakini hamna motisha yoyote. Stress ni nyingi sana tunaomba fedha ya kujikimu iongezwe ili kuweza kuendana na uhalisia wa maisha ya sasa.
 
Back
Top Bottom