Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession?
Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary.
Kwenye afya nako Ni hivyo hivyo Kuna daktari namjua amemaliza muhimbjli pale analipwa laki nne hospitali hapa dar. Sasa hawa mawaziri wanafanya kazi gani Kama hawawezi kushughulikia matatizo haya?