Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Mwalimu ndio unataka kutoa machozi kabisa?
Sasa tumekusikia unaweza zungumza English vizuri
Mbona hajalalamikaKuna daktari namjua amemaliza muhimbjli pale analipwa laki nne hospitali hapa dar.
Kama umri unaruhusu kopa hela kasome kitu kingine ukimaliza fanya transfer. Ukisubiri maslahi mazuri kwa walimu utazeeka masikini. Walimu ni wengi karibia nusu ya watumishi wote nchini. Ukisema hata uwape house allowance ya laki 2 bujeti yake ni kubwa.Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession?
Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary.
Kwenye afya nako Ni hivyo hivyo Kuna daktari namjua amemaliza muhimbjli pale analipwa laki nne hospitali hapa dar. Sasa hawa mawaziri wanafanya kazi gani Kama hawawezi kushughulikia matatizo haya?
DuuEnglish medium analipwa laki mbili.
Cha msingi ni kufikiria nje ya box tu hamna namna, Program yoyote atakayeenda kusoma kuna utitiri wa graduates mtaani.Kama umri unaruhusu kopa hela kasome kitu kingine ukimaliza fanya transfer. Ukisubiri maslahi mazuri kwa walimu utazeeka masikini. Walimu ni wengi karibia nusu ya watumishi wote nchini. Ukisema hata uwape house allowance ya laki 2 bujeti yake ni kubwa.
Tatizo la msingi hapa ni moja nalo nikuwa serikali haijapandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa muda mrefu sasa huko Private wanapandishajeElimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession?
Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary.
Kwenye afya nako Ni hivyo hivyo Kuna daktari namjua amemaliza muhimbjli pale analipwa laki nne hospitali hapa dar. Sasa hawa mawaziri wanafanya kazi gani Kama hawawezi kushughulikwaia matatizo haya?
Hio Kazi NDugu umelazimishwa, tatizo unajua supply and demand zinavyo control Bei ndugu msomi.kuna mwingne Yuko mtaani muda huu hana hta ujiraWa 30000 Kwa mwezi. Tumia HYo English medium kama daraja ya kwenda mbele.Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession?
Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary.
Kwenye afya nako Ni hivyo hivyo Kuna daktari namjua amemaliza muhimbjli pale analipwa laki nne hospitali hapa dar. Sasa hawa mawaziri wanafanya kazi gani Kama hawawezi kushughulikia matatizo haya?