Kwani wewe nani alikuambia analipwa laki mojahata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Ikiwa hutaki kuukubali ukweli mdogo kama huo sidhani kama umeshakubali kuwa, si kwamba ni jua ndilo linazunguka/temebea toka mashariki kuelekea magharibi bali ni dunia ndiyo inayojizungusha toka magharibi kuelekea mashariki!!Hayo unayasema wewe , muda utaongea kama kweli jukwaa na ruby nani anamuhitaji mwenzie maswala ya kupewa promo kisha unyimwe uhuru wako yamepitwa na wakati.
Hata uzushi unakikomo cha kuamini huwezi singiziwa kila siku kiyu hikohiko basi kuna tatizoIkiwa hutaki kuukubali ukweli mdogo kama huo sidhani kama umeshakubali kuwa, si kwamba ni jua ndilo linazunguka/temebea toka mashariki kuelekea magharibi bali ni dunia ndiyo inayojizungusha toka magharibi kuelekea mashariki!!
Kama mna tatizo na Clouds au Ruge, that's not my problem but yours! Hapa najadili suala la Ruby na show yake!Hata uzushi unakikomo cha kuamini huwezi singiziwa kila siku kiyu hikohiko basi kuna tatizo
Yes ts mine coz the source of all is couds n himKama mna tatizo na Clouds au Ruge, that's not my problem but yours! Hapa najadili suala la Ruby na show yake!
Mnh! Stay blessed jomba.Yes ts mine coz the source of all is couds n him
We unasema 20 za kwake mwenyewe hata 5 hajafikisha na hit ni moja tu "na yule" na wimbo wenyewe umekuzwa na clouds,Sasa lakini jide si alikuwa tayar legend wakati analiamsha beef na clouds sasa ruby hata hit kumi hazijafika na wala nyimbo zake hazifiki hata 20
Yule ni zaidi ya komando anajiamini mpaka anapitiliza asee, I just admire herYule ni Commando ni iron lady hapekeshwi wala kumuogopa mtu kisa kuna watu wanadhani ni babkubwa.
Hakajielewi hako ka RubyUthubutu upi? Huo wa kusaini mkataba huku ukipiga vigelegele hadi una-post Instagram kwa mbwembwe zote halafu baadae unageuka ndo unasema ujasiri?! Ni nani anataka kufanya kazi na mtu asiyeheshimu makubaliano?!
Mimi niliisema hii Mwanzo huyo Ana wale wapambe nuksi wasomtakia mema katika maisha , halaf ukiangalia yeye katokea fiesta super diva hii angeifanya Kama shukrani kwa clousHakuna kitu kizuri kama kuchagua vita... Jide hakuanza vita wiki ya pili au mwaka wa kwanza wa career yake, she established her base before starting the fights
Huyu dada kuna washauri wanamdanganya
Kwann alisaini mkataba? Na pia anaonekana so excited , kwan kwenye huo mkataba hakukuwa na kipengere cha malipo, kubali kwamba huyo super diva wenu amebugi afu hajiamin na siku zote MTU anayependa kuongozwa na wapambe mwisho huwa ni wa mashaka, [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ukishindwa kujivalue wewe,unadhani nani atakuvalue?yeye anajiona hilo dau halimtosh sasa ulitaka apande jukwaani bila maslah anayoyataka?
Haswaaa, tena angezunguka bure Kama shukraniatafungwaje mtu akati mkataba wagafla gafla mbele ya media ila kiukweli huy mwanamke kakosea sana sijui kama anajua gharama mpaka msanii akatoka ayo yote clouds wamemfanyia hakuna chabule angekubali kulipa fadhira
[emoji23] [emoji23]Aliwahi kumpeleka mahakamani nani? Kwa issue kama hizi unaweza kumpeleka mahakamani featured act lakini sio yule ambae awepo au asiwepo bado hana effect yoyote kwenye show!!! Endapo Wiz Kid asingetokea pale, raia wasingeelewa but who cared kwamba Ruby hakutokea?!!
Mburura huyoswala sio kutetea maslai yake ilibidi arudishe fadhira ametolewa bure vijana wangap wapo mtaani wanavipaji lakini hawana nafasi ya kuonekana pesa aliyokataa rub ni kubwa sana ni laki 8 sijajua kwa mkoa mmoja au yote
Yaani acha tu unakuta mtu we unachat vizur yeye anakuletea lugha za kishoga Mara "p", K", xaxa[emoji57] [emoji35] [emoji35]Mkiendelea kuwapiga vita kama hivi wataacha huu ujinga wao,halafu utakuta wengine ni watu wazima kabisa,halafu wanaandika namna hiyo.
Daah umeongea yote mkuu, wasipokuelewa wakapimwe [emoji125][emoji125]Nilipoisoma hii hoja yako nikalazimika kusoma mara mbili mbili hoja yangu kuangalia ni wapi niliposema wasanii wote wametoka kwa ajili ya Clouds... SIKUPAONA! Post uliyoni-quote ni hii hapa:Hayo uliyosema umeyatoa wapi?! Wapi nimezungumza suala la Clouds kupiga au kutopiga nyimbo?!
Sasa nije kwenye hoja yako! Kwanza wote nyinyi mnasahau hoja ya msingi! Nitaandika kwa herufi kubwa. RUBY ALISHASAINI MKATABA NA CLOUDS NA AKAWA ANA-POST PICHA HADI INSTAGRAM KUONESHA YUPO EXCITED NA FIESTA!!!
Sasa ina maana alisaini kabla hajafahamu maslahi yake? Kuna mdau alidai walisainishwa mbele ya kamera... nikahoji ikiwa hata posting alizokuwa anafanya Instagram nazo alikuwa amesimamiwa na kamera... hadi sasa sijapewa jibu!!! labda unipe wewe!! Kwahiyo jambo la kwanza anaonesha wazi si mtu wa kuheshimu mikataba! Music is business... ALWAYS biashara ya muziki inaenda na mikataba! Usipoweza kuheshimu mikataba kwenye biashara you'll never ever succeed! Ukiingia kichwa kichwa, that's your problem and no one's!
But second, hapa JF watu wana kiburi cha degree zao tena zingine zenye GPA za sifa! Bado hawa tunawaona wanalilia hata kufanya kazi za kujitolea for free... ukimpa nauli tu atakushukuru kweli kweli! Why?! Lengo lao ni ku-gain experience na ku-excel kwenye career zao. Leo hii CRDB, PSPF, PricewaterhouseCoopers, Law Firms n.k wakitangaza wanahitaji wafanyakazi wa kujitolea but hawatalipa chochote... applications za graduates zitamiminika kwenye milango yao hadi watazikimbia! Unataka kusema watakaofanya hivyo watakuwa ni wapum'bavu?!!
Mnaweza kuendelea kumtia ujinga ambao hata nyinyi wenyewe hamkuufanya wakati mnajenga career zenu! Hapa watu wanaweza kujifanya ni fighters lakini walisaini kazi ya mshahara wa laki 6 kwa mwezi na degree zao na wanawanyenyekea mabosi wao kama Mungu na hawana ubavu wa kutoka!!! Kwa pale alipo, Ruby yupo bado sana, tena sana! Hata ukimweka na Yamoto Band kwenye show yako bado huwezi kumweka Ruby kama featured act! Ruby analihitaji jukwaa la Fiesta kuliko jukwaa linavyomuhitaji yeye!! The problem mnadhani watu tunazungumzia kupiga nyimbo zake redioni!
Mwisho niseme kwamba, ikiwa wewe upo very successful kwenye career yako! Na kama kuna mwingine yeyote humu yupo very successful! Please, ningewashauri muache kuwatia watu ujinga kwa sababu hata nyinyi ni vile tu mtakuwa mmesahau mlikotoka hadi kufika hapo mlipofika!!! Si ajabu ni wale ambao walifanya field training for free wakati walikuwa wana-contribute!