ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kwani Clouds ndo nini? Wanapata kichwa halafu wawanyonye wasanii wetu!!! Hawana hela za kuwalipa wakae pembeni Hata Diamond alise na aliweka kiwango kuwa chini ya million 15 sifanyi show yoyote ile haijarishi ni nani kaandaa mbona yupo juu bado!!!! Ni wakati wa wasanii kutambua dhamani zao na kujitambua na kuachana na njaaa wataheshimika sanaa
Big up Ruby
Big up Ruby