Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

safi ruby

u have to stand kwa kile unakiamini

so sawa kukubali kupelekeshwa tu...haijalishi na nani...

nakufahamu ulivyowatosa Glorious celebration ya kina mabisa...walikutenga but still u made it

Ruby , you are a brave woman...
Time will tell
 
Mmmhhh!!!!! sio mbaya Tz tukipata makomando wawili.......ila bidada ajipange sana maana hawa IMOOOOOO!!!!! si wa kuwaendea hivi hivi
 
Usijidanganye...
Fikiria hii
1. Diamond nyimbi zake hazikupogwa na IPP MEDIA kwa miaka mitatu, lakini alizidi kupaa...KISA CLOUDS WALIKUWA NAYE
2. JD nyimbo zake hazipigwi clouds, unona anavyopotea..??
3. Prof Jay, alikwaruzana na clouds, alianza kupotea
4. Jaribu kuwakumbuka wengine waliowahi kugombana na clouds nini kiliwakuta

Kwa kifupi, kugombana na clouds media inabidi ujipange... HUYO DOGO NDO ANAPOTEA HIVYO...
Wewe kama clouds ndio kama nyeti zako unatembea nazo 24/7 hautamsikia Jide lakini kwa watu tusioshikiwa chini mbona Jide yupo kwenye rank ya juu hata sasa ndindindi inapigwa kila kona east Africa kwenye majumba maeneo ya starehe libraries na hata anafanya sold out shows kila mkoa mfuatilie wala Jide hajachuja bado anamaintain status yake.

Jide sio kama kina dimond wasafi manfongo ruby mauasama wa leo Jide ni legendary sio chipukizi anaehitija maximum airtime kila second.

Pamoja na clouds kutopiga ngoma zake bado Jide anafanya oneman shows kwani ni lini umeona wakina jumanature Mr poul stara Thomas crazy JK Mr II professor J na ma legend wengine wamebaki kwenye peak Jide aliyonayo saivi japo wao ngoma zao bado zinagongwa clouds????

Think big man.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mimi ni msikilizaji/mtazamaji tu ila naongea kitu ambacho kipo
Hisia zikikata hakuna ubani wala udi kila mtu na chaguo lake haya yana mwisho chuki za nini mi napita tu [emoji124][emoji124]sio msikilizaji [emoji101]
 
Wewe kama clouds ndio kama nyeti zako unatembea nazo 24/7 hautamsikia Jide lakini kwa watu tusioshikiwa chini mbona Jide yupo kwenye rank ya juu hata sasa ndindindi inapigwa kila kona east Africa kwenye majumba maeneo ya starehe libraries na hata anafanya sold out shows kila mkoa mfuatilie wala Jide hajachuja bado anamaintain status yake.

Jide sio kama kina dimond wasafi manfongo ruby mauasama wa leo Jide ni legendary sio chipukizi anaehitija maximum airtime kila second.

Pamoja na clouds kutopiga ngoma zake bado Jide anafanya oneman shows kwani ni lini umeona wakina jumanature Mr poul stara Thomas crazy JK Mr II professor J na ma legend wengine wamebaki kwenye peak Jide aliyonayo saivi japo wao ngoma zao bado zinagongwa clouds????

Think big man.
Sijaona mantiki ya kutamka nyeti zangu... eti natembea nazo 24/7, we kama zako unaachaga kwenye friza home ngoja umeme ukatike zikuozee...... AND UNANISHAURI MIMI NI-THINK BIG... ANYWAY..

1. Unajuwa kila mtu ana mwanamuziki wake anayempenda, bila kujali ana ukubwa gani kwenye ulimwengu wa muziki.. na mapenzi hayo huwa yanatia upofu wa kuona umpendaye anapoteaje...

2. Oneman (woman) show, ni baada ya kuwa alishatangazwa sana huko nyuma.... nakwambia gape la kutotangzwa linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyoongezeka... BADO ANAYATUMIA MATUNDA YA KUELEWANA NA CLOUDS SIKU ZILIZOPITA.... anaporomoka taratibu....

3. Kuna wimbo wa Snura unaitwa Majanga... yaani ukiuacha wimbo ule peke yake bila clouds, HAUNA KITU... lakini clouds waliupandisha mpaka ukajulika na kila mtu .... So the same way wanaweza kukupandisha, watakushusha hivyo hivyo ukiingia kwenye 18 zao

4. JD anapotea kama mabavyo huyu Ruby atapotea....
 
Kwa point yako ya kwanza tu ina majibu yote.
So kumbe hapa hatuongei facts bali tunaongea upenzi wa mwanamuziki then as long you are not Jide fan hauwezi ongelea kitu chochote positive about her.

Me nilikua nipo neutral kumbe mwenzangu ulikua ki league basi hapa siwezi comment.
 
Hiyo point hujailewa....
Kinakufanya uandike hilo ni upenzi wako kwa JD na si uhalisia
 
Hapana hapo sijatumia upenzi kabisa sababu hata mada yenyewe haijaweka team mbili hapa tunaongelea mchango wa clouds kwa wasanii.

Kipimo kizuri cha kupima status ya artiste either anadrop au yupo on ni mauzo ya album (ipo kizamani) shows ( hii ya kisasa) commercials na coverage kwenye media.

Check shows za Jide mikoani tokea atoe ndindi na check za kina Mr II na Professor Juma Nature ambao nao wametoa single zao recently hawa nawaweka sababu ndio wameanza nae mziki au hata uwaweke hawa upcoming bado watatupwa mbali.

hapo ndio utajua status ya Jide na umaarufu wake upoje tokea clouds wambanie for years now.
 
Usijidanganye...
Fikiria hii
1. Diamond nyimbi zake hazikupogwa na IPP MEDIA kwa miaka mitatu, lakini alizidi kupaa...KISA CLOUDS WALIKUWA NAYE
2. JD nyimbo zake hazipigwi clouds, unona anavyopotea..??
3. Prof Jay, alikwaruzana na clouds, alianza kupotea
4. Jaribu kuwakumbuka wengine waliowahi kugombana na clouds nini kiliwakuta

Kwa kifupi, kugombana na clouds media inabidi ujipange... HUYO DOGO NDO ANAPOTEA HIVYO...
Wewe ni muongo tena wakutupwa.. Diamond na IPP walikwaruzana kipindi cha mwanzo kabisa kabla ya uchaguzi mkuu na walimalizana mwanzoni kabisa wa mwezi March mwaka huu.

Kiukweli Ruby hana uwezo wa kupambana na media lakini usitumie mfano wa uongo kujustify unayotaka watu waamini.

Clouds wana nguvu kama media nyingine.. Kuna wasanii hawana ugomvi na Clods lakini wala hawawiki..Kwa hiyo si kweli ukiwa sawa na Clouds ndio umetoka.

Kimsingi msanii hatakiwi kugombana na media kugombana na media yeyote ile kunampunguzia nguvu...

Kimsingi Ruby hatoweza kama alivyo weza Lady jaydee... Ruby bado mchanga..
 
Ruby amedai haki yake kitu ambacho wengi wanakaa kimya
 
Umekubali kuwa IPP media ilikwaruzana na DIAMOND.... HAYA SEMA UWONGO WANGU NI UPI SASA?
 
Back
Top Bottom