Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

unajiita chige baada ya chege
 
Mbona marekani nyimbo moja tu anatajirika yeye katoa hit song moja anapaswa kulipwa pesa nzuri tu na sio ya kununulia supu waliyotaka kumpa....izi ni zama za show million na sio laki
 
Ruby nawe umekuwa kinega, umeshatafuta kazi nyingine ya kufanya? Maana nahisi ndo ushajizika rasmi kwenye muziki
Unaamanisha usipopiga shoo ya fiesta ndio na kuimba bye bye au
 
Mwepesi sana,hana jina lakini anataka kujitutumua,ameshajimaliza
Msanii makini,anagombea kutoka kwanza bei baadae,sasa huyo Ruby hata chalinze hajulikani,
 
Ligi za JF bwana?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimestahafu siku hizi.
Naona watu wametoana jasho huku kinomanoma.
[emoji126][emoji126][emoji126]
 
Shameless kwa ruby ,ndio kwanza kama ni mgomba ndio unapaliliwa ,halafu analeta mabavu,au kisa kashapata pesa ya kujichubua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…