Maslahi ya kisiasa kwa kundi dogo si sawa, Taifa hili limejaa watu wenye mahitaji

Maslahi ya kisiasa kwa kundi dogo si sawa, Taifa hili limejaa watu wenye mahitaji

Chadema mnaangaika Sana Yan Zito kukosa hela ya kula na kutaka watanzania wote wawe kama yeye ni jambo ambalo ni rahis Sana kwake ila ukwel ni kwamba hawato fanikisha lolote lile
 
Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa Tanzania wanahihitaji hii misaada sio sawa hata kidogo. Viongozi acheni kuwadhulumu watanzania kwa maslahi yenu ya kisiasa. Hawa watu ndio mnaodai mpo kwa ajili ya maendeleo yao. Maslahi yenu ya kisiasa yasiwe maumivu kwa raia wa nchi hii.
Tuna utawala mbovu sn kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom