Maslahi yetu Congo ni usalama mpakani na biashara ambayo kiasi kikubwa imeegemea bandari.Maslahi ya Tanzania hapo Congo ni yapi?
Rwanda inafahamika maslahi yake hapo Congo sisi wengine tunapeleka Congo vijana wetu kwenda kufia wacongo kwa maslahi yapi kama taifa?
Hii ni dunia ya kibepari isiyotaka maamuzi ya kijamaa hivyo ni vyema tukajua tunaenda kupambania nini Congo?
Bila hivyo itakuwa vitaa kichaa tunapigana
Hivyo ni umuhimu kujua maslahi ya Tanzania kama nchi hapo Congo mpaka kupeleka jeshi letu ni yapi?
PIA SOMA
- Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?
Katika hiyo biashara Congo inachangia asilimia ngapi ya mapato yetu kwa mwaka ? Na kama ni hiyo biashara inakuaje madereva wetu wanakuwa hawapo salama katika eneo tunaloenda kulinda biashara zetu mpaka wana kombolewa na adui tulieenda kupambana nae ?Maslahi yetu Congo ni usalama mpakani na biashara amabayo kiasi kikubwa imeegemea bandari.
Congo inaweza kuwa ndiye mteja mkubwa zaidi wa bandari ya Dar es Salaam.Katika hiyo biashara Congo inachangia asilimia ngapi ya mapato yetu kwa mwaka ? Na kama ni hiyo biashara inakuaje madereva wetu wanakuwa hawapo salama katika eneo tunaloenda kulinda biashara zetu mpaka wana kombolewa na adui tulieenda kupambana nae ?
Acha tuoneTanzania ni mwendawazimu.maana hakuna wanachonufaika zaidi ya kupoteza wanajeshi vitani.viya hiyo itamalizwa na wakongo wenyewe watakapoamua kumaliza tofauti zao ndani ya Nchi Yao na siyo kudingizia mataifa mengine ndiyo husababisha hiyo vita
InawezaCongo inaweza kuwa ndiye mteja mkubwa zaidi wa bandari ya Dar es Salaam.
Bado bandari ya Dar es Salaam ndio Karibu zaidi kwa DRC kwa sehemu kubwa ya biashara yake ya nje ya bara la Africa.Inaweza
Huyu mpuuzi ana hii project ni hasara kubwa kwetu na kwa hiyo bandari unayo izungumzia hapa
The Lobito Atlantic Railway (LAR) is a joint venture, operating trains along the Benguela railway corridor from the coast of Angola into the Democratic Republic of Congo.
View attachment 3218858
Huo umuhimu Congo wangeuonesha kwa kuingia joint project na sisi mfanano na hiyo Lobito kabla hata wazo la lobito kufikiriwa kinyume chake wanaingia na Angola maana yake nini? sisi hatuna umuhimu huo kwao.Bado bandari ya Dar es Salaam ndio Karibu zaidi kwa DRC kwa sehemu kubwa ya biashara yake ya nje ya bara la Africa.
Kuwa karibu siyo sababu Bali ufanisi wa bandari ndiyo huvutia zaidi wafanyabiashara.mfano Kuna watanzania wengi tu wanapitisha mizigo Yao Kenya wakati wakenya hakuna hata mmoja anayepitisha bandari za TanzaniaBado bandari ya Dar es Salaam ndio Karibu zaidi kwa DRC kwa sehemu kubwa ya biashara yake ya nje ya bara la Africa.
Sio mambo yote yanawekwa hadharini ila wale wanaoenda huku wanajua wanachoenda kufanyaMaslahi ya Tanzania hapo Congo ni yapi?
Rwanda inafahamika maslahi yake hapo Congo sisi wengine tunapeleka Congo vijana wetu kwenda kufia wacongo kwa maslahi yapi kama taifa?
Hii ni dunia ya kibepari isiyotaka maamuzi ya kijamaa hivyo ni vyema tukajua tunaenda kupambania nini Congo?
Bila hivyo itakuwa vitaa kichaa tunapigana
Hivyo ni umuhimu kujua maslahi ya Tanzania kama nchi hapo Congo mpaka kupeleka jeshi letu ni yapi?
PIA SOMA
- Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?
Nilijua wewe ni mmojawapo wa walioenda kumbe una ndugu wanaoenda. Basi sawaWanajua nini ?
Unafikiri hatuna ndugu,jamaa wanaoenda huko kufukuzia tu madili ya mission na hawana wanachojua
Hiyo bandari haina umuhimu huo kwa hawa wapuuzi wa Congo na ndio maana wana project na Angola ya lobito kuthibitisha hilo.Congo ni mbia wa maendeleo anatumia bandari yetu,pia kuwahakikishia usalama watz waishio Congo na mipakani .
Congo ni mnunuzi mkubwa wa chakula Toka kwa wakulima na wavuvi wetu lazima madereva wetu walindwe,nne kuepuka wimbi la wakimbizi kuingia nchini si unayajua madhara ya wahamiaji haramu na uhalifu nchini.
Congo ikitulia mapato yetu yataongezeka.
Dawa ni kuwafurusha hao m23; hadi kwa boss wao kigali
Huo ni mradi wa PPP, pesa nyingi zaidi zinatoka upande wa sekta binafsi, nyingine ni mkopo wa Marekani, hizo serikali za Africa zina sauti ndogo sana hapo.Huo umuhimu Congo wangeuonesha kwa kuingia joint project na sisi mfanano na hiyo Lobito kabla hata wazo la lobito kufikiriwa kinyume chake wanaingia na Angola maana yake nini? sisi hatuna umuhimu huo kwao.
Ni ukichaa ku support watu wajinga wajinga kama hawa
Inategemea uko Tanzania upande gani, na hata DRC inatagemea uko upande gani, Congo ni kubwa mara mbili na nusu zaidi ya Tanzania.Kuwa karibu siyo sababu Bali ufanisi wa bandari ndiyo huvutia zaidi wafanyabiashara.mfano Kuna watanzania wengi tu wanapitisha mizigo Yao Kenya wakati wakenya hakuna hata mmoja anayepitisha bandari za Tanzania
Congo iliyotulia na salama ni faida zaidi kwa Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ya jirani ila tatizo ni kwamba hatuna huo uwezo wa kuifanya tulivu, sisi wenyewe pia hatujaweza kuzitumia rasilimali zetu nyingi kwa ufanisi kiasi cha kutufanya tuende kusaidia huko kwingine nje.Hiyo bandari haina umuhimu huo kwa hawa wapuuzi wa Congo na ndio maana wana project na Angola ya lobito kuthibitisha hilo.
Na kuhusu usalama wa watu wetu na huo ni uongo mkubwa ni juzi tu hapa madereva wetu wameokolewa na maadui wetu tunaopambana nao.
Kuhusu kulinda mipaka yetu tunaweza linda mipaka yetu bila hata kutuma askari wetu Congo na kuzuia hatari zote katika nchi yetu.