Maslahi ya Tanzania DR Congo ni yapi?

Tumekusikia mnyarwanda. Ila tambua damu za wakongo wanaokufa bila hatia zinawalilia. Mnatumwa na mmarekani kuchota dhahabu na madini mengine, wanawapa silaha, muue wasio na hatia. Shame on you.
 
Congo inaweza kuwa ndiye mteja mkubwa zaidi wa bandari ya Dar es Salaam.
Aha uongo.

Jiografia ya Congo haiifanyi nchi hiyo kutegmemea bandari ya DSM pekee. upande wa Mashariki pia wanategemea bandafi ya Mombasa. Upande wa kusini magharibi wana bandari yao kule Atlantic ocean.

Pia kuna reli ya Lobito inatokea Angola na US ametia nguvu pale hiyo reli itategemewa mpaka na Zambia.

Hivyo Tanzania hatuna maskahi makubwa Congo. Halafu yeyote atakayetawala mashariki tena ikiwa watafanikiwa kujitenga atategemea zaidi Mombasa na Dsm.
 
Jamhuroi ya kidemokrasia ya Congo kusipokalika, wakongo watakimbilia kigoma Tanzania na kusababisha wimbi la wakimbizi
 
Hiyo bandari haiwezi kuitisha ya Dar kwa mizigo ya DRC.
 
Tumekusikia mnyarwanda. Ila tambua damu za wakongo wanaokufa bila hatia zinawalilia. Mnatumwa na mmarekani kuchota dhahabu na madini mengine, wanawapa silaha, muue wasio na hatia. Shame on you.
Wewe ni mpumbavu.
 
1: congo ni mteja mmubwa wa bandari yetu
2: congo ni jirani yetu
3: ni wanafamilia wa SADC
 
Mengi tu. Usalama
Usafirishaji
Soko
Ujirani mwema
Matapeli wa kieoho
Burdening ya ndombolo
Uchafuzi wa mila
Wakimbizi
Udugu
Nk.
 
Sielewi hata na vitu gani umeandika hapa,
Kuna mahali nimesema Congo inategemea bandari ya Dar es Salaam peke yake??
 
Congo ndio mteja wetu mkubwa wa bandari..
 
Wewe ni mpumbavu.
Mnyarwanda hana ardhi Congo anayoidai. Hana haki ya kuua raia wa Congo kwa kisingizio chochote. Unyarwanda wako na mikakati ya kutawala Africa ya mashariki, kati na kusini kupitia Bahima empire program ni uovu na ushetani tu.
 
Kama hizi ndio akili za viongozi wa nchi hii, God help us
 
Tulia wewe, Banyamurenge unayemuona mnyarwanda anaipenda Congo na ni mcongo halisi kuliko wewe na akili zako zilizojaa matope, go educate yourself
 
M
Inategemea uko Tanzania upande gani, na hata DRC inatagemea uko upande gani, Congo ni kubwa mara mbili na nusu zaidi ya Tanzania.
Mfano kunawafanyabiashara nawafahamu Huwa wanapitisha mizigo Yao bandari ya Dar lakini biashara zao zote wanafanyia Dar.wanasema Bora kupitishia Mombasa kuliko Dar
 
Tulia wewe, Banyamurenge unayemuona mnyarwanda anaipenda Congo na ni mcongo halisi kuliko wewe na akili zako zilizojaa matope, go educate yourself
Kagame anakasirika nini South Africa kuisaidia Congo. Rwanda anapata wapi madini anayouza kimataifa wakati kwake hana migodi. Askari wa Rwanda wamefata nini Kongo. Damu za wakongo zitadumu kuwaliliankwa ajili ya uroho wenu wa mali. Ninyi ni wanyama.
 
Kama hizi ndio akili za viongozi wa nchi hii, God help us
Kwani hujui kama mizigo ya Congo inatusaidia kiuchumi kupitia bandaru na barabara. Na hujui wafanyabiashara wa Congo hufurika Dsm kununua bidhaa. Na hujui watamzani hupeleka bidhaa mbalimbali kupitia mipaka ya maji na nchi kavu. Huna uchungu na Tanzania/Tanganyika, wewe mnyarwanda. Unaandika matakataka.
 
Huyo ni mnyarwanda na mpango wao wa kuitawala Africa kupitia mkakati wa Bahima empire. Wanyarwanda hasa watusi wanaamini wao ni superior na special kuliko watu wengine wanaowaita wahutu.
Mtu kuamini yeye ni superior sio kosa.
 
Tanzania ni mwendawazimu.maana hakuna wanachonufaika zaidi ya kupoteza wanajeshi vitani.viya hiyo itamalizwa na wakongo wenyewe watakapoamua kumaliza tofauti zao ndani ya Nchi Yao na siyo kudingizia mataifa mengine ndiyo husababisha hiyo vita
Ni Kwa sabb hamjui yaliyomo yamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…