Maslahi ya Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi (NSSF&PSSSF)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
 
P

Punguzeni wivu wananchi
 
Reactions: Y2J
Viongozi hawachangii kwenye mifuko ya jamii wala bima ya afya.
Wenyewe wakistaafu au wakiugua wanalipwa/wanalipiwa na mfuko mkuu hazina.
Ndio maana hawana uchungu wowote kwa wanachama wa mifuko hiyo
 
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
Achana nao, mfuko uko kwa ajilii yao, siku ukijua wafanyakazi wote wakiwemo wafagizi wanavokula kuku ofisini utazima umeme.
 
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
utakusaidia nini sasa.
we hoji kwanini serikali haikuwa ikiwasilisha hyo michango sehemu husika had kusababisha mfuko wa psssf kua na hali mbaya
 
Reactions: Y2J
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…