Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

Bil 2 kama mkopo ndio maana wanaiba kura kuendelea kusaliq kwa awamu angalau 3 ...

Maana kwa term moja(miaka 5) hawezi kuridisha bil 2 .
 
Sasa hawa ndio wanaila nchi. Mafuta si wajinunulie kwa mishahara yao..
 
Mshahara wa Mbunge 3.8 milioni? Acha utani!!! Hivi unadhani ingekua hivyo Sugu angepata wapi nguvu ya Kujenga Ile hotel yake? Maana mshahara wa 3.8m (salary slip) unatumia kukopa kiasi gan?
Unaambiwa anaweza kukopa mpaka bil 2 kwa dhamana ya ubunge wake,, wewe unasema salary slip ya 3.8M.. Hivi huwa hamsomi mpaka mwisho au?
 
Yaani 30litres per day? Mbona kidogo sana kwa yale ma v8, waongezewe iwe 100 per day. Mshahara wawaongezee angalau iwe 30m per month. Kiinua mgongo baada ya kugonga meza miaka mitano, kiwe angalau trilioni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…