Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

Huwezi kunielewa mzee ikiwa ulishakariri kuwa wanalipwa mil 12. Hiyo 12 mil huwa inamchanganuo wake, nilikuwaga nafahamu kama wewe hivyo mtu mmoja mhusika wa mjengoni akanielewesha
Upo sahihi mkuu. Mil 12 inatokana na mshahara ambao hauzidi 4mil + posho ambazo huwa hazina kodi.

Na hili wameliweka kimkakati. Maana mshahara huwa na makato lukuki ila posho haina kodi wala makato.
 
Kama mbunge hakatwi kodi kwenye mshahara wake, mimi ni nani nilipe kodi.
TRA tutasumbuana sana.
 
...Upo Tanganyika hii ??...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Ni ndogo sana ni uzalendo tu haiwatoshi kabisa.Wanafanya kazi nzito sana
Nipe justification ya kulipwa 360,000 per night wakati mtumishi wa serikali analipwa 80,000??? Night allowance lengo lake ni uweze kulipia lodge na kupata chakula sasa kwa nini ulipwe 360,000??
 
Kwa hiyo analipwa night allowance na sitting allowance pia?? Hiyo si ni double payment?
 
Mabaya sanaa,hata iwapo unafikiri kujihusisha na sii hasa achana na wazo hilo🤣
 
Sifa kuu ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kiswahili( hata kama hukuwahi kuingia darasa la kwanza) ingawa sifa ya kuwa dereva anayefaa kumwendesha mbunge ni form four na leseni ya udereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…