Wadanganye wajinga, ndugu yangu ni mbunge unachosema ni uwongo. Baada ya kupitisha kiinua mgongo kwa wake wa marais nao wamejiongezea. You scratch my back I sratch yours. Ukinikuna nakukuna na kukupuliza.Huwezi kunielewa mzee ikiwa ulishakariri kuwa wanalipwa mil 12. Hiyo 12 mil huwa inamchanganuo wake, nilikuwaga nafahamu kama wewe hivyo mtu mmoja mhusika wa mjengoni akanielewesha
Kafie mbeleMtaji ndugu mbuge🤔
Hawa wanakula nchi bila huruma.Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa:
1. Mshahara mnono (bila Kodi)
2. Posho ya vikao
3. Mkopo wa gari
4. Posho ya dereva
5. Mfuko wa Jimbo
7. Bima ya matibabu nje ya nchi
8. Kiinua mgongo baada ya kumaliza Ubunge
9. Pesa ya mafuta ya gari la mbunge
10. Posho vikao vya kamati
11. Posho ziara kwenye miradi, taasisi
12. Posho ziara za kimafunzo ughaibuni
NB: sifa za kuwa Mbunge zipo? Ni zipi?
Safi sana. Wananchi kama hawajitambui wacha wale tuHawa wanakula nchi bila huruma.
Nitaenda kufia kwetu 🤣Kafie mbele
Mabayaaa zaidi,urefu wa kamba🤣Ubunge ni zaidi ya bingo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mbunge hakatwi kodi kwenye mshahara wake, mimi ni nani nilipe kodi.
TRA tutasumbuana sana.