Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Sasa hivi habari inayotrend ni kuzuiwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya wa zamani kukanyaga USA kisa corruption, kumbe habari nilizozipata ni kwamba Wakenya wenyewe ndo waliomsnitch huyo AG walifunga Safari kwenda kwa Donald Trump kushitaki na kutaka AG wao apigwe stop kuingia paradiso.
Hii inaonyesha masnitch wa Kenya wana nguvu sana kulinganisha na na masnitch wa Tanzania yetu, hata sisi snitches wanashinda huko kutaka Tanzania yetu idhalilishwe kama Kenya lakini wanashindwa kushawishi, kweli masnitch wa Kenya kiboko.