Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Wakenya roho ya ukabila itawafanya muishi kama dumuzi...tunawasubili tena....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo madhambi na madudu yenu yote mnafanya kwa Kiswahili, hivyo inakua vigumu kwa ulimwengu kuwashtukia, kwa mfano zile trillions mlizozipiga akawaumbua CAG, mlifaulu kufunika maana issue yote imezungumzwa humo humo na kuishia huko, hata akina Lissu wakibweka huko nje hawaeleweki.
Sijawahi ona kichwa nunda kama huyu jamaa. Yaani kwa akili yako unaona Marekani au mabeberu wengine wakiwa na interest na issue fulani, usipoiweka kwa kiingereza basi umewapiga chenga. Duu bichwa lako lazima litakuwa na viwavi badala ya uroto wa ubongo. Unafikiri marekani ina kichwa cha panzikama chako ambcho issue ikiwa nje ya kigikuyu, au kiswahili na kidogo kiingereza tayari umechengwa. Mabeberu wakiwa na interest na kitu hata kiwe in Mandarin Drawings lazima watakifuatilia. Elewa hilo ya kuwa kwa mabeberru lugha is no longer a barrier to whatever they wish to do.
Hehehe povu kweli kweli, ila ndio huo ukweli, lugha huficha sana headlines zenu, wakiwa huko kwenu wanategemea tu gazeti moja la Kikenya.
Headlines kama hizi hapa ingekua zinaandikwa kwa lugha inayoeleweka kwao...
![]()
![]()
Bado umeonesha uelewa mdogo jinsi mabeberu wanavyofanya kazi.
Ungekua unajua wanavyofanya kazi hamngekua mnaliwa mnavyoliwa...hehehe