Tatizo madhambi na madudu yenu yote mnafanya kwa Kiswahili, hivyo inakua vigumu kwa ulimwengu kuwashtukia, kwa mfano zile trillions mlizozipiga akawaumbua CAG, mlifaulu kufunika maana issue yote imezungumzwa humo humo na kuishia huko, hata akina Lissu wakibweka huko nje hawaeleweki.
Hivi yule seneta anayetafutwa Marikani ameishia wapi?Lkn masnitch wa Kenya walipanda ndege kwenda USA kushitaki na wakakabidhi majina kwa Muzungu, utasikia wengine watafwata pia kupigwa stop kuingia USA.
Sasa hilo hata masnitch wa TZ hufanya pia huenda huko kwa Muzungu kushitaki lkn hawasikilizwi kama masnitch wa Kenya.
Lkn masnitch wa Kenya walipanda ndege kwenda USA kushitaki na wakakabidhi majina kwa Muzungu, utasikia wengine watafwata pia kupigwa stop kuingia USA.
Sasa hilo hata masnitch wa TZ hufanya pia huenda huko kwa Muzungu kushitaki lkn hawasikilizwi kama masnitch wa Kenya.
Mpaka sasa wakenya 189 wamekutwa na rungu hilo.Lkn masnitch wa Kenya walipanda ndege kwenda USA kushitaki na wakakabidhi majina kwa Muzungu, utasikia wengine watafwata pia kupigwa stop kuingia USA.
Sasa hilo hata masnitch wa TZ hufanya pia huenda huko kwa Muzungu kushitaki lkn hawasikilizwi kama masnitch wa Kenya.
Jirani, kutangazia dunia kwa lugha pendwa tumewaachia nyie na media houses zenye. Naona Sasa mmeshaandika hadi mmechoka.La Wakenya kupanda ndege kwenda kushtaki sina habari nalo, labda utuwekee chanzo cha kusadikika, lakini ninachokijua ni kwamba hawa wenzetu hufuatilia sana matukio ya ndani ya kila nchi, kwa nyie huwa rahisi kuficha mafisadi wenu maana mnayafanya kwa lugha ya Kiswahili, ila sisi hata bungeni na vikao vyote huwa rahisi kufuatiliwa dunia yote kwa sababu ni English mwanzo mwisho.
Huko kwenu hata mkiifanya madudu mithili ya kupelekwa ICC, inazimwa kimya kimya.
Jirani, kutangazia dunia kwa lugha pendwa tumewaachia nyie na media houses zenye. Naona Sasa mmeshaandika hadi mmechoka.
Mnatumika tu pasipo kujua, mbaya zaidi mnamtumikia beberu...bora mngekuwa mnatumika kwa ajili ya nchi yenu.
La Wakenya kupanda ndege kwenda kushtaki sina habari nalo, labda utuwekee chanzo cha kusadikika, lakini ninachokijua ni kwamba hawa wenzetu hufuatilia sana matukio ya ndani ya kila nchi, kwa nyie huwa rahisi kuficha mafisadi wenu maana mnayafanya kwa lugha ya Kiswahili, ila sisi hata bungeni na vikao vyote huwa rahisi kufuatiliwa dunia yote kwa sababu ni English mwanzo mwisho.
Huko kwenu hata mkiifanya madudu mithili ya kupelekwa ICC, inazimwa kimya kimya.
Weka link tujichambulie habari sisi wenyewe. Maanake huu uzi wako unaeneza dhana kwamba Kenya ni kama Tz ambapo wazalendo wanaofichua maovu huwa mnawaita masnitch. Kenya sio Magufulistan na watu kama hao huwa tunawaita 'whistleblowers' kama Julian Assange wa Wikileaks. Alafu kwenye enzi hizi za teknolojia mtu kusafiri kilomita nyingi ili akapeane tu habari ni umbumbumbu wa hali ya juu.Walifanya tour USA na kukutana na secretary of state USA na kumpa majina ya watu wasiowapenda kama huyo AG wao, Mainstream media at Kenya zimesema hivyo.
Walifanya tour USA na kukutana na secretary of state USA na kumpa majina ya watu wasiowapenda kama huyo AG wao, Mainstream media at Kenya zimesema hivyo.
Gesi tunatumia viwandani sasa na inasambazwa majumbani kwa kupikia. Pia magari yanatumia gesi sasa. Kusema tutawapita au tumeshawapita ni swala mtambuka kidogo! Labda Ungeweka ulinganifu unaotaka ili tupime.Vipi mbeberu bado anawanyonya gesi au mlishamzingua, maana nakumbuka mliahidi ndani ya siku mia moja ya gesi kutoka Mtwara mtakua mumetupita kiuchumi, sijui vipi huko Mtwara, je wamefaulu kuifaidi gesi inayotoka kwao, ila mbeberu ni mtu mbaya sana, yaani raslimali zenu zote amezinyonya tangu enzi za mababu zenu na hadi leo anawatafuna mumebaki mifupa na mahandaki tupu na bado mpo kwenye kundi la LDC, maskini wa kutupwa.
Gesi tunatumia viwandani sasa na inasambazwa majumbani kwa kupikia. Pia magari yanatumia gesi sasa. Kusema tutawapita au tumeshawapita ni swala mtambuka kidogo! Labda Ungeweka ulinganifu unaotaka ili tupime.
Ngoja tunaenda ku cut nusu ya importation ya mafuta baada ya gesi kukubalika sokoni. Umeme wa Nyerere HP na Zuzu power station Dodoma then uje tena hapa kupima kupitwa au ni denial.
Kulalamika ni hulka ya binadamu mkuu. Ila ukweli ndio huo..gesi inatumika Kama unabisha google can be your best friend...pitia angalia.Tatizo Watanzania wengi wanalalamika sana, hebu kawajibu kwenye hizi nyuzi
Asilimia 75 ya Gesi ya Mtwara inachukuliwa na 'Mabeberu' sisi wenye Gesi tunachukua asilimia 15 tu
Asilimia 75 Ya Gesi Ya Mtwara Inachukuliwa Na 'Mabeberu' Sisi Wenye Gesi Tunachukua Asilimia 15 Tu. Wanaharakati Na Wananchi Wa Mtwara Walipokuwa Wanapinga Mchakato Wa Gesi Walidhihakiwa Na Kuitwa Wasaliti Wa Maendeleo Ya Nchi! Leo Tunaongea Lugha Moja Je huu mradi wa gesi kutoka Mtwara...www.jamiiforums.com Nawachukia Sana wazungu waliouza gesi ya Mtwara
Wazungu Hawakubaliki Yaani Wamefanya Mbaya Sana Hawawww.jamiiforums.com Hivi ni kweli gesi ya Mtwara ndo tumenyang’anywa hivyo?
Jamani hebu tuelimisheni kwa wanaoelewa, hivi hii gas si tuliaminishwa kwamba tatizo la umeme Tanzania litakuwa ni historia na kwa wale tunaotumia gas za kupikia majumbani bei itashuka, sasa nini kimetokea? Kwani hii gas si inatoka Mtwara kuja dsm kwa matumizi viwandani n.k? Sasa hivi tunaambiwa...www.jamiiforums.com
Kulalamika ni hulka ya binadamu mkuu. Ila ukweli ndio huo..gesi inatumika Kama unabisha google can be your best friend...pitia angalia.
Mfano ruto na watu wake wanalalamika kuwa uhuru anawatenga! Kwani ni malalamiko ya kweli hayo? Ni hulka tu na siasa kawaida.