Masogange akutana na mwenye makalio makubwa kama yake na kulingishiana huko South

Masogange akutana na mwenye makalio makubwa kama yake na kulingishiana huko South

Huyu nae badala atafute pesa yeye anawaza makalio
 
attakua anatoaaa ndogo huyoooo maana anapenda kulitangaza makalio yke......aende kigoma aone makalio ya wakina dada wa kimuha.......chake cha mtoto
 
attakua anatoaaa ndogo huyoooo maana anapenda kulitangaza makalio yke......aende kigoma aone makalio ya wakina dada wa kimuha.......chake cha mtoto

makalio ndio yanamuweka mjini
 
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.

Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi tofauti.

Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.

attachment.php

Masogange na Samia katika pozi.

Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga na kujisifia kuwa “Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.

Chuo gani kinatoa degree ya MATAKOOLOGY? inaelekea huyu kijana alifaulu vizuri Sana, atakua na 4.5 GPA, first class.

Inabidi akaombe kazi au ajiajiri katika kiwanda cha ponography, kwani wahitimu wengi wamo humo.

Ila kama alipata ajira/ujasiriamali mbadala wa dona, afanye kwa malengo kwani fainali uzeeni. Asisahau kujiwekea akiba pale NSSF au LAPF hata PPF.
 
Kuna watu kibao wanamtoa nokaut huku mtaani kwetu,
yeye ni cha mtoto.
 
Back
Top Bottom