Masogange alalamikiwa kulala na mastaa wa kinaigeria zaidi ya mmoja akiwemo Davido

Masogange alalamikiwa kulala na mastaa wa kinaigeria zaidi ya mmoja akiwemo Davido

Nani mwenye picha ya takor lake aliweke hapa!!!
 
Uwiii mimba ya davido tena?? Huyu mtoto masogange anawaua wenzie na virusi
 
Wakija Bongo hao kina masogange wanajifanya wajanja kumbe nje ya bongo wanagongwa na mamburulaz Kama tekno minjino,yaani tekno hata Miaka 20 hajafika wakati masogange anatafuta 35.
 
Eti Tekno, hahaha hawa wanamuziki wa plastic bhana majina yao! Sasa Tekno ndio jina gani? Usishangae ukasikia mwingine anajiita samsung.

Wao wafurahie hiyo mifurushi aliyofungasha huyu dada ila kama walienda peku waanze kuandika wosia.
 
ila acheni utani, yule Masogange pale nyuma ana "Bando'' ya nguvu.

tatizo ana mdundiko.
 
Africans are only good at eating and love making.

Said by Donald Trumph.

Huyu jamaa kweli alikuwa sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom