Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Hao wote ni wife material lakini waoaji hakuna.
 
My primary teacher used to tell me:

_"...Lalisha matako apa, kumbuka si wewe nachapa, ni ujinga natoa."_

Till today mi huamini ujinga huwa kwa matako. Nikiona demu na matako kubwa najuaga hiyo ni ujinga amejaza.
 
Ajajaja... Apo minerspatan umenikumbusha aseeeee kiuno nyigu, tak* tembo
tako tembo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyu na miner shape zao hazina uwiano..
hawanogi kabisa..
wenye shape nzuri masogange na helenhuthut wa nje ya box...
hasa hasa namkubali huthut japo sura0
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Asilimia nyingi ya Dada zetu awajielewi, ndio maana utasikia aya.
Mfano mzuri apa dsm unakuta msichana kajichubua uso mweupe. Miguuni mweusi, apo Unafikiri kuna mtu apo majanga tupu
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
eti wanasema uzuri wa nyumba chooo.. mmmh
 
mbona huku kitaa kuna wenye makalio makubwa zadi ya wao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…