Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

anaitwa corazon

mcheki pale kati..

tumblr_n7dkwc5Fgp1tqkh06o1_500.jpg

daaaaahhh
 
Yaan huyu ni menene tofauti na masogange, tunapoongelea shape tunamaanisha no 8 huyo Dada hapo sio 8 maana Ana tumbo na tako lake lina mabonde

Mkuu kuna utofauti wa kitu na natural na artificial. Masogange kaongezea ukubwa wa tako na tumbo katumia madawa kuliondoa. Sasa uyu Lilly yeye ni natural ndio maana unaona yuko hivyo. Vera mwenyewe katumia madawa,nikikuletea picha yake utoamini Kama ndio yeye sasa hivi.
 
duuuh ukiwa huna pesa wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji.daah kuna mwanaume mwenzangu ndo anakula mizigo hiyo nawaonea wivu knm
 
My primary teacher used to tell me:

"Lalisha matako hapa, kumbuka si wewe nachapa, ni ujinga natoa."

Till today mi huamini ujinga huwa kwa matako. Nikiona demu na matako kubwa najuaga hiyo ni ujinga amejaza.
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Bora umesema kaka, sometimes kutokujitambua, after all beauty are all together in the eyes of beholders.
No justifications, may business at work.
 
Mkuu kuna utofauti wa kitu na natural na artificial. Masogange kaongezea ukubwa wa tako na tumbo katumia madawa kuliondoa. Sasa uyu Lilly yeye ni natural ndio maana unaona yuko hivyo. Vera mwenyewe katumia madawa,nikikuletea picha yake utoamini Kama ndio yeye sasa hivi.
Weka mapicha tuone mkuu ila kama wanatumia mchina bas huyo ndo mama lao
 
Back
Top Bottom