Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Mshana!!!!!
Nimekumbushwa mbali sana kipindi hicho uzuri ukiwa kweli ni uzuri..not now every thing is made in china!! even papuchi
jikumbushe nawe! DDC Mlimani Park Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabiaa..
Nyimbo hizo zilinisaidia kupata mke mzuri wa tabia.....