Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Sio kweli, vera kwa sasa hayupo natural, amejibadilisha kuanza rangi yake, butts, boobs zote ni plastic bana.
Corazon kwamboka ni mzuri zaidi ya vera sidika, vera sidika anaonekana mzuri baada ya kujibadili.

Binamu vera yuko so fake shape hailingani hata hips na upaja, hata ingawa kajichubua ila reception ni big no, though nampenda hata ongea yake Inaonyesha ana akili tofauti na mastar ushuzi wa kibongo hawana kitu kichwani, vera ana ka international exposure
 
Vera anajitambua sio kina mama ubaya wanauza mipapa lakini maendeleo zero, wakiitwa interview wanaongea ujinga mtupu.
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Point zinto sana umeizungumza hapo........watoto wa kike hapo ndio wanapopotea.......kuringia uzuri wa maumbo huku sehenu zao za siri zikitumika........hakuna mwanaume ambaye atachukua hayo makalio au shepu akaiweka ndani akiakiamini ameweka mke ndani......kwa wanaume hiyo ni sababu ya kuumia moyo maana anajua tu kuchapiwa ni almost 100% predictable plus kulingiwa na kuletengewa ngebe za madharau mara tu mwenye dau kubwa sokoni akiweka order........sasa katika hali hiyo hawa wanawake wanaoringia shepu na uzuri wa mwili huwa tunawatumia tu ujana huu tukianza majukumu ya familia tunatupa huko wakazeeke ohio..........uzuri sometimes kama ni mkosi vile maana ukiwa unawaniwa unashindwa kujua nani ni anayekutaka kweli kwa mapenzi ya dhati na ni nani ambaye anataka achezee tu huo mwili hadi unyauke kisha akuteme..........money is the bitch though......
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Kakaako tatizo churaaa [emoji196] ndo habari
 
Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
Wafanyabiashara hao...achana nao
 
Sema za ukweli mzuri tena kaumbika.
Hakuna mkamilifu duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…