Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Ingekuwa yanachoona macho ndio tabia na roho ya mtu basi wengi wangeenda peponi
 
Offcourse. Kati ya hao wenye kujiacha wazi.
Ila hawashiki namba hata ya mbali kwa wale waliobakia wenye kujisitiri na hawakuingia kwenye shindano.
 
Huyu Masongange nilishawahi ona mguu wake sio mzuri. Hauna mvungu.

Wadada wenye miguu hii wanakuwa na Mtera sana.
 
Ni sawa,lakini kama anatoa namba yake ya Tigo kwa kila mtu haipendezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…